From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nusquam enim angelos adprehendit sed semen abrahae adprehendi
maana ni wazi kwamba yeye hakuja kwa ajili ya kuwasaidia malaika, bali kama yasemavyo maandiko; "anawasaidia wazawa wa abrahamu."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
non secundum testamentum quod feci patribus eorum in die qua adprehendi manum illorum ut educerem illos de terra aegypti quoniam ipsi non permanserunt in testamento meo et ego neglexi eos dicit dominu
agano hili halitakuwa kama lile nililofanya na babu zao siku ile nilipowaongoza kwa mkono kutoka nchi ya misri. hawakuwa waaminifu kwa agano langu; na hivyo mimi sikuwajali, asema bwana.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: