From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hic autem eo quod maneat in aeternum sempiternum habet sacerdotiu
lakini yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et regnabit in domo iacob in aeternum et regni eius non erit fini
kwa hivyo atautawala ukoo wa yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
contestatur enim quoniam tu es sacerdos in aeternum secundum ordinem melchisedec
maana maandiko yasema: "wewe ni kuhani milele, kufuatana na utaratibu wa ukuhani wa melkisedeki."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
servus autem non manet in domo in aeternum filius manet in aeternu
mtumwa hana makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao ya kudumu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et omnis qui vivit et credit in me non morietur in aeternum credis ho
na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. je, waamini hayo?"
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
quapropter si esca scandalizat fratrem meum non manducabo carnem in aeternum ne fratrem meum scandalize
kwa hiyo, ikiwa chakula husababisha kuanguka kwa ndugu yangu, sitakula nyama kamwe, nisije nikamfanya ndugu yangu aanguke katika dhambi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et ego vitam aeternam do eis et non peribunt in aeternum et non rapiet eas quisquam de manu me
mimi nawapa uzima wa milele; nao hawatapotea milele, wala hakuna mtu atakayeweza kuwatoa mkononi mwangu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et respondens dixit ei iam non amplius in aeternum quisquam fructum ex te manducet et audiebant discipuli eiu
hapo akauambia mtini, "tangu leo hata milele mtu yeyote asile matunda kwako." nao wanafunzi wake walisikia maneno hayo.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
dicit ei petrus non lavabis mihi pedes in aeternum respondit iesus ei si non lavero te non habes partem mecu
petro akamwambia, "wewe hutaniosha miguu kamwe!" yesu akamjibu, "nisipokuosha hutakuwa na uhusiano nami tena."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
id enim quod in praesenti est momentaneum et leve tribulationis nostrae supra modum in sublimitatem aeternum gloriae pondus operatur nobi
taabu tunayopata ni kidogo, tena ya muda tu: lakini itatupatia utukufu upitao matazamio yote, utukufu ambao hauna mwisho.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
respondit ei turba nos audivimus ex lege quia christus manet in aeternum et quomodo tu dicis oportet exaltari filium hominis quis est iste filius homini
basi, umati huo ukamjibu, "sisi tunaambiwa na sheria yetu kwamba kristo atadumu milele. wawezaje basi, kusema ati mwana wa mtu anapaswa kuinuliwa? huyo mwana wa mtu ni nani?"
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
et vidi alterum angelum volantem per medium caelum habentem evangelium aeternum ut evangelizaret sedentibus super terram et super omnem gentem et tribum et linguam et populu
kisha nikamwona malaika mwingine anaruka juu angani akiwa na habari njema ya milele ya mungu, aitangaze kwa watu wote waishio duniani, kwa mataifa yote, makabila yote, watu wa lugha zote na rangi zote.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: