Results for carcerem translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

nondum enim missus fuerat in carcerem iohanne

Swahili

(wakati huo yohane alikuwa bado hajafungwa gerezani.)

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

qui dixit ei domine tecum paratus sum et in carcerem et in mortem ir

Swahili

naye petro akamjibu, "bwana, mimi niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani, na hata kufa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

ille autem noluit sed abiit et misit eum in carcerem donec redderet debitu

Swahili

lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et cum multas plagas eis inposuissent miserunt eos in carcerem praecipientes custodi ut diligenter custodiret eo

Swahili

baada ya kupigwa sana wakatiwa ndani, na askari wa gereza akaamriwa kuwaweka chini ya ulinzi mkali.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ego dixi domine ipsi sciunt quia ego eram concludens in carcerem et caedens per synagogas eos qui credebant in t

Swahili

nami nikamjibu: bwana, wao wanajua wazi kwamba mimi ni yule aliyekuwa anapitapita katika masunagogi na kuwatia nguvuni na kuwapiga wale waliokuwa wanakuamini.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicentes carcerem quidem invenimus clausum cum omni diligentia et custodes stantes ad ianuas aperientes autem neminem intus invenimu

Swahili

wakisema, "tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. lakini tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dimisit autem illis eum qui propter homicidium et seditionem missus fuerat in carcerem quem petebant iesum vero tradidit voluntati eoru

Swahili

akamfungua kutoka gerezani yule waliyemtaka, ambaye alikuwa ametiwa gerezani kwa sababu ya uasi na kuua; akamtoa yesu kwao, wamfanyie walivyotaka.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

esto consentiens adversario tuo cito dum es in via cum eo ne forte tradat te adversarius iudici et iudex tradat te ministro et in carcerem mittari

Swahili

"patana na mshtaki wako upesi mkiwa bado njiani, kwenda mahakamani. la sivyo, mshtaki wako atakukabidhi kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa askari, nawe utafungwa gerezani.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

nihil horum timeas quae passurus es ecce missurus est diabolus ex vobis in carcerem ut temptemini et habebitis tribulationem diebus decem esto fidelis usque ad mortem et dabo tibi coronam vita

Swahili

usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. sikiliza! ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani; nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uzima.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,933,989,489 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK