Results for caritas translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

caritas

Swahili

kiswahili

Last Update: 2024-05-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

caritas fraternitatis manea

Swahili

endeleeni kupendana kidugu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

misericordia vobis et pax et caritas adimpleatu

Swahili

nawatakieni huruma, amani na upendo kwa wingi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et quoniam abundabit iniquitas refrigescet caritas multoru

Swahili

kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

qui non diligit non novit deum quoniam deus caritas es

Swahili

mtu asiye na upendo hamjui mungu, maana mungu ni upendo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

fructus autem spiritus est caritas gaudium pax longanimitas bonitas benignita

Swahili

lakini matokeo ya kuongozwa na roho ni mapendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

caritas patiens est benigna est caritas non aemulatur non agit perperam non inflatu

Swahili

mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

caritas numquam excidit sive prophetiae evacuabuntur sive linguae cessabunt sive scientia destruetu

Swahili

upendo hauna kikomo kamwe. kama kuna vipaji vya kutangaza ujumbe wa mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ante omnia mutuam in vosmet ipsos caritatem continuam habentes quia caritas operit multitudinem peccatoru

Swahili

zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika dhambi nyingi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

caritas enim christi urget nos aestimantes hoc quoniam si unus pro omnibus mortuus est ergo omnes mortui sun

Swahili

maana mapendo ya kristo yanatumiliki sisi ambao tunatambua ya kwamba mtu mmoja tu amekufa kwa ajili ya wote, na hiyo ina maana kwamba wote wanashiriki kifo chake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

carissimi diligamus invicem quoniam caritas ex deo est et omnis qui diligit ex deo natus est et cognoscit deu

Swahili

wapenzi wangu, tupendane, maana upendo hutoka kwa mungu. kila mtu aliye na upendo ni mtoto wa mungu, na anamjua mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

in hoc est caritas non quasi nos dilexerimus deum sed quoniam ipse dilexit nos et misit filium suum propitiationem pro peccatis nostri

Swahili

hivi ndivyo upendo ulivyo: si kwamba sisi tulikuwa tumempenda mungu kwanza, bali kwamba yeye alitupenda hata akamtuma mwanae awe sadaka ya kutuondolea dhambi zetu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et nos cognovimus et credidimus caritati quam habet deus in nobis deus caritas est et qui manet in caritate in deo manet et deus in e

Swahili

basi, sisi tunajua na tunaamini upendo alio nao mungu kwetu sisi. mungu ni upendo, na kila mtu aishiye katika upendo, anaishi katika muungano na mungu, na mungu anaishi katika muungano naye.

Last Update: 2023-09-05
Usage Frequency: 2
Quality:

Latin

timor non est in caritate sed perfecta caritas foras mittit timorem quoniam timor poenam habet qui autem timet non est perfectus in caritat

Swahili

palipo na upendo hapana uoga; naam, upendo kamili hufukuza uoga wote. basi, mtu mwenye uoga hajakamilika bado katika upendo, kwani uoga huhusikana na adhabu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

gratias agere debemus deo semper pro vobis fratres ita ut dignum est quoniam supercrescit fides vestra et abundat caritas uniuscuiusque omnium vestrum in invice

Swahili

ndugu, tunapaswa kushukuru mungu daima kwa ajili yenu. inafaa kwetu kufanya hivyo kwani imani yenu inakua sana na kupendana kwenu kunaongezeka sana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,792,328,609 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK