Results for christo translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

christo

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

ergo et qui dormierunt in christo perierun

Swahili

zaidi ya hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na kristo wamepotea kabisa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

habeo igitur gloriam in christo iesu ad deu

Swahili

kwa hiyo, nikiwa nimeungana na kristo yesu, naweza kujivunia huduma yangu kwa ajili ya mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

quicumque enim in christo baptizati estis christum induisti

Swahili

ninyi nyote mliobatizwa mkaungana na kristo ni kama vile mmemvaa kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et conresuscitavit et consedere fecit in caelestibus in christo ies

Swahili

kwa kuungana na kristo yesu, mungu alitufufua pamoja naye, tukatawale pamoja naye mbinguni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

itaque lex pedagogus noster fuit in christo ut ex fide iustificemu

Swahili

basi, hiyo sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa waadilifu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et omnes qui volunt pie vivere in christo iesu persecutionem patientu

Swahili

kila mtu anayetaka kuishi maisha ya kumcha mungu katika kuungana na kristo yesu lazima adhulumiwe.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et sicut in adam omnes moriuntur ita et in christo omnes vivificabuntu

Swahili

kama vile watu wote wanavyokufa kwa kujiunga na adamu, vivyo hivyo wote watafufuliwa kwa kuungana na kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicens quid vobis videtur de christo cuius filius est dicunt ei davi

Swahili

"ninyi mwaonaje juu ya kristo? je, ni mwana wa nani?" wakamjibu, "wa daudi."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

audientes fidem vestram in christo iesu et dilectionem quam habetis in sanctos omne

Swahili

maana tumesikia juu ya imani yenu katika kristo yesu na juu ya upendo wenu kwa watu wote wa mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

adulescentiores autem viduas devita cum enim luxuriatae fuerint in christo nubere volun

Swahili

usiwaandikishe wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa kristo watataka kuolewa tena,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

gratias ago deo meo semper pro vobis in gratia dei quae data est vobis in christo ies

Swahili

ninamshukuru mungu wangu daima kwa ajili yenu kwa sababu amewatunukia ninyi neema yake kwa njia ya kristo yesu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

estote autem invicem benigni misericordes donantes invicem sicut et deus in christo donavit nobi

Swahili

muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye mungu alivyowasamehe ninyi kwa njia ya kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

gratias ago ei qui me confortavit christo iesu domino nostro quia fidelem me existimavit ponens in ministeri

Swahili

namshukuru bwana wetu yesu kristo aliyenipa nguvu kwa ajili ya kazi yangu. namshukuru kwa kuniona mimi kuwa ni mwaminifu, akaniteua nimtumikie,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

christo igitur passo in carne et vos eadem cogitatione armamini quia qui passus est carne desiit a peccati

Swahili

maadamu kristo aliteseka kimwili, nanyi pia mnapaswa kujiimarisha kwa nia hiyo yake; maana mtu akisha teseka kimwili hahusiki tena na dhambi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

deus autem omnis gratiae qui vocavit nos in aeternam suam gloriam in christo iesu modicum passos ipse perficiet confirmabit solidabi

Swahili

lakini mkisha teseka muda mfupi, mungu aliye asili ya neema yote na ambaye anawaiteni muushiriki utukufu wake wa milele katika kuungana na kristo, yeye mwenyewe atawakamilisheni na kuwapeni uthabiti, nguvu na msingi imara.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

nam et si corpore absens sum sed spiritu vobiscum sum gaudens et videns ordinem vestrum et firmamentum eius quae in christo est fidei vestra

Swahili

maana, ingawa mimi niko mbali nanyi kwa mwili, lakini niko pamoja nanyi kwa roho, na ninafurahi kuona uthabiti kamili mnaosimama nao pamoja katika imani yenu kwa kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

scio hominem in christo ante annos quattuordecim sive in corpore nescio sive extra corpus nescio deus scit raptum eiusmodi usque ad tertium caelu

Swahili

namjua mtu mmoja mkristo, ambaye miaka kumi na minne iliyopita alinyakuliwa mpaka katika mbingu ya tatu. (sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; mungu ajua.)

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,773,630,450 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK