From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
corpus christi
mwili wa kristo
Last Update: 2021-06-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vos autem estis corpus christi et membra de membr
basi, ninyi nyote ni mwili wa kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
initium evangelii iesu christi filii de
habari njema ya yesu kristo, mwana wa mungu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
et ingressae non invenerunt corpus domini ies
walipoingia ndani, hawakuona mwili wa bwana yesu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anima plus est quam esca et corpus quam vestimentu
kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora kuliko mavazi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
et cum cognovisset a centurione donavit corpus iosep
pilato alipoarifiwa na huyo jemadari kwamba yesu alikuwa amekwisha kufa, akamruhusu yosefu auchukue mwili wake.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
itaque fratres mei et vos mortificati estis legi per corpus christi ut sitis alterius qui ex mortuis resurrexit ut fructificaremus de
hali kadhalika ninyi ndugu zangu: ninyi pia mmekufa kuhusu sheria kwa kuwa ninyi ni sehemu ya mwili wa kristo; sasa mmekuwa wake yeye aliyefufuliwa kutoka wafu ili tupate kuzaa matunda mema kwa ajili ya mungu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
liber generationis iesu christi filii david filii abraha
yesu kristo alikuwa mzawa wa daudi, mzawa wa abrahamu. hii ndiyo orodha ya ukoo wake:
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mittens enim haec unguentum hoc in corpus meum ad sepeliendum me feci
huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
paulus servus christi iesu vocatus apostolus segregatus in evangelium de
kutoka kwangu mimi paulo, mtumishi wa kristo yesu, na mtume niliyeteuliwa na kuitwa kwa ajili ya kuhubiri habari njema ya mungu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huius rei gratia ego paulus vinctus christi iesu pro vobis gentibu
kutokana na hayo, mimi paulo, mfungwa wa kristo yesu kwa ajili yenu, namwomba mungu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
deus autem dat illi corpus sicut voluit et unicuique seminum proprium corpu
mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
et accedentes discipuli eius tulerunt corpus et sepelierunt illud et venientes nuntiaverunt ies
wanafunzi wa yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. kisha wakaenda kumpasha habari yesu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
acceperunt ergo corpus iesu et ligaverunt eum linteis cum aromatibus sicut mos iudaeis est sepelir
basi, waliutwaa mwili wa yesu, wakaufunga sanda pamoja na manukato kufuatana na desturi ya wayahudi katika kuzika.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
an nescitis quoniam qui adheret meretrici unum corpus efficitur erunt enim inquit duo in carne un
maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "nao wawili watakuwa mwili mmoja."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
accedamus cum vero corde in plenitudine fidei aspersi corda a conscientia mala et abluti corpus aqua mund
kwa hiyo tumkaribie mungu kwa moyo mnyofu na imani timilifu, kwa mioyo iliyotakaswa dhamiri mbaya, na kwa miili iliyosafishwa kwa maji safi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dico autem vobis amicis meis ne terreamini ab his qui occidunt corpus et post haec non habent amplius quod facian
"nawaambieni ninyi rafiki zangu: msiwaogope wale wanaoua mwili, wasiweze kufanya kitu kingine zaidi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
cenantibus autem eis accepit iesus panem et benedixit ac fregit deditque discipulis suis et ait accipite et comedite hoc est corpus meu
walipokuwa wanakula, yesu akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa wanafunzi wake akisema, "twaeni mle; huu ni mwili wangu."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
etenim in uno spiritu omnes nos in unum corpus baptizati sumus sive iudaei sive gentiles sive servi sive liberi et omnes unum spiritum potati sumu
maana sisi, tukiwa wayahudi au watu wa mataifa mengine, watumwa au watu huru, sote tumebatizwa kwa roho mmoja katika mwili huo mmoja; na sote tukanyweshwa roho huyo mmoja.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
et nolite timere eos qui occidunt corpus animam autem non possunt occidere sed potius eum timete qui potest et animam et corpus perdere in gehenna
msiwaogope wale wauao mwili, lakini hawawezi kuiua roho. afadhali zaidi kumwogopa yule awezaye kuuangamiza mwili pamoja na roho katika moto wa jehanamu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: