Results for dicebant translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

dicebant

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

quoniam dicebant spiritum inmundum habe

Swahili

(yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, "ana pepo mchafu.")

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et alia multa blasphemantes dicebant in eu

Swahili

wakamtolea maneno mengi ya matusi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicebant ergo ei quomodo aperti sunt oculi tib

Swahili

basi, wakamwuliza, "sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

alii autem inridentes dicebant quia musto pleni sunt ist

Swahili

lakini wengine wakawadhihaki wakisema, "watu hawa wamelewa divai mpya!"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

pharisaei autem dicebant in principe daemoniorum eicit daemone

Swahili

lakini mafarisayo wakawa wanasema, "anawatoa pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

ceteri vero dicebant sine videamus an veniat helias liberans eu

Swahili

wengine wakasema, "acha tuone kama eliya anakuja kumwokoa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicebant enim non in die festo ne forte tumultus fieret popul

Swahili

lakini walisema, "tusimtie nguvuni wakati wa sikukuu, watu wasije wakafanya ghasia."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et dicebant ad invicem quis revolvet nobis lapidem ab ostio monument

Swahili

nao wakawa wanaambiana, "nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicebant autem non in die festo ne forte tumultus fieret in popul

Swahili

lakini wakaamua jambo hilo lisifanyike wakati wa sikukuu, kusije kukatokea ghasia kati ya watu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicebant autem multi ex ipsis daemonium habet et insanit quid eum auditi

Swahili

wengi wao wakasema, "ana pepo; tena ni mwendawazimu! ya nini kumsikiliza?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

alii autem dicebant quia helias est alii vero dicebant propheta est quasi unus ex propheti

Swahili

wengine walisema, "mtu huyu ni eliya." wengine walisema, "huyu ni nabii kama mmojawapo wa manabii wa kale."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

alii dicebant haec verba non sunt daemonium habentis numquid daemonium potest caecorum oculos aperir

Swahili

wengine wakasema, "haya si maneno ya mwenye pepo. je, pepo anaweza kuyafumbua macho ya vipofu?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

at illi dixerunt ad eam insanis illa autem adfirmabat sic se habere illi autem dicebant angelus eius es

Swahili

wakamwambia yule msichana, "una wazimu!" lakini yeye akasisitiza kwamba ilikuwa kweli. nao wakamwambia, "huyo ni malaika wake."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

at ille iterum negavit et post pusillum rursus qui adstabant dicebant petro vere ex illis es nam et galilaeus e

Swahili

petro akakana tena. baadaye kidogo, watu waliokuwa wamesimama hapo wakamwambia petro, "hakika wewe ni mmoja wao, maana wewe ni mgalilaya."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

de turba autem multi crediderunt in eum et dicebant christus cum venerit numquid plura signa faciet quam quae hic faci

Swahili

wengi katika ule umati wa watu walimwamini, wakasema, "je, kristo akija atafanya ishara kubwa zaidi kuliko alizozifanya huyu?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicebant ergo ei ubi est pater tuus respondit iesus neque me scitis neque patrem meum si me sciretis forsitan et patrem meum scireti

Swahili

hapo wakamwuliza, "baba yako yuko wapi?" yesu akawajibu "ninyi hamnijui mimi wala hamumjui baba. kama mngenijua mimi, mngemjua na baba yangu pia."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et murmur multus de eo erat in turba; quidam enim dicebant quia bonus est alii autem dicebant non sed seducit turba

Swahili

kulikuwa na minong'ono mingi katika umati wa watu. baadhi yao walisema, "ni mtu mwema." wengine walisema, "la! anawapotosha watu."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

at illi existimabant eum in tumorem convertendum et subito casurum et mori diu autem illis sperantibus et videntibus nihil mali in eo fieri convertentes se dicebant eum esse deu

Swahili

wale watu walikuwa wakitazamia kwamba angevimba au hapohapo angeanguka chini na kufa. baada ya kungojea kwa muda mrefu bila kuona kwamba paulo amepatwa na jambo lolote lisilo la kawaida, walibadilisha fikira zao juu yake, wakasema kuwa ni mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

quidam autem epicurei et stoici philosophi disserebant cum eo et quidam dicebant quid vult seminiverbius hic dicere alii vero novorum daemoniorum videtur adnuntiator esse quia iesum et resurrectionem adnuntiabat ei

Swahili

wengine waliofuata falsafa ya epikuro na stoiki walibishana naye. wengine walisema, "anataka kusema nini huyu bwanamaneno?" kwa kuwa paulo alikuwa anahubiri juu ya yesu na juu ya ufufuo, wengine walisema, "inaonekana kama anahubiri juu ya miungu ya kigeni."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,793,820,071 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK