Results for discipuli translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

discipuli

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

quamquam iesus non baptizaret sed discipuli eiu

Swahili

(lakini ukweli ni kwamba yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.)

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et nuntiaverunt iohanni discipuli eius de omnibus hi

Swahili

wanafunzi wa yohane walimpa habari yohane juu ya mambo hayo yote. naye yohane, baada ya kuwaita wawili kati ya wanafunzi wake,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

discipuli quoque replebantur gaudio et spiritu sanct

Swahili

lakini hao wafuasi walikuwa wamejaa furaha na roho mtakatifu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

aspiciebant ergo ad invicem discipuli haesitantes de quo dicere

Swahili

wanafunzi wakatazama wasiweze kabisa kujua anasema nani.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et audientes discipuli ceciderunt in faciem suam et timuerunt vald

Swahili

wanafunzi waliposikia hivyo wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et accedentes discipuli dixerunt ei quare in parabolis loqueris ei

Swahili

wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, "kwa nini unasema na watu kwa mifano?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicebant ergo discipuli ad invicem numquid aliquis adtulit ei manducar

Swahili

wanafunzi wake wakaulizana, "je, kuna mtu aliyemletea chakula?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicunt ei discipuli eius ecce nunc palam loqueris et proverbium nullum dici

Swahili

basi, wanafunzi wake wakamwambia, "ahaa! sasa unasema waziwazi kabisa bila kutumia mafumbo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et offerebant illi parvulos ut tangeret illos discipuli autem comminabantur offerentibu

Swahili

watu walimletea yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

accipientes autem discipuli eius nocte per murum dimiserunt eum submittentes in sport

Swahili

lakini wakati wa usiku wanafunzi wake walimchukua, wakamteremsha chini ndani ya kapu kubwa kwa kupitia nafasi iliyokuwako ukutani.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicentes dicite quia discipuli eius nocte venerunt et furati sunt eum nobis dormientibu

Swahili

wakisema, "ninyi mtasema hivi: wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba sisi tukiwa tumelala.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

adferebant autem ad illum et infantes ut eos tangeret quod cum viderent discipuli increpabant illo

Swahili

watu walimletea yesu watoto wadogo ili awawekee mikono yake. wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et cum introisset in domum discipuli eius secreto interrogabant eum quare nos non potuimus eicere eu

Swahili

lakini yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ait illi petrus etiam si oportuerit me mori tecum non te negabo similiter et omnes discipuli dixerun

Swahili

petro akamwambia, "hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakukana kamwe." wale wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

cum ergo resurrexisset a mortuis recordati sunt discipuli eius quia hoc dicebat et crediderunt scripturae et sermoni quem dixit iesu

Swahili

basi, alipofufuliwa kutoka wafu, wanafunzi wake walikumbuka kwamba alikuwa amesema hayo, wakaamini maandiko matakatifu na yale maneno aliyokuwa akisema yesu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

alii autem discipuli navigio venerunt non enim longe erant a terra sed quasi a cubitis ducentis trahentes rete pisciu

Swahili

lakini wale wanafunzi wengine walikuja pwani kwa mashua huku wanauvuta wavu uliojaa samaki; hawakuwa mbali na nchi kavu, ila walikuwa yapata mita mia moja kutoka ukingoni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

at illi dixerunt ad eum quare discipuli iohannis ieiunant frequenter et obsecrationes faciunt similiter et pharisaeorum tui autem edunt et bibun

Swahili

watu wengine wakamwambia yesu, "wafuasi wa yohane mbatizaji hufunga mara nyingi na kusali; hata wafuasi wa mafarisayo hufanya vivyo hivyo. lakini wafuasi wako hula na kunywa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et erant discipuli iohannis et pharisaei ieiunantes et veniunt et dicunt illi cur discipuli iohannis et pharisaeorum ieiunant tui autem discipuli non ieiunan

Swahili

wakati mmoja wanafunzi wa yohane na wanafunzi wa mafarisayo walikuwa wanafunga. basi, watu wakaja, wakamwuliza yesu, "kwa nini wanafunzi wa yohane na wa mafarisayo wanafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et cum iussisset turbam discumbere supra faenum acceptis quinque panibus et duobus piscibus aspiciens in caelum benedixit et fregit et dedit discipulis panes discipuli autem turbi

Swahili

akawaamuru watu waketi katika nyasi. kisha akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akamshukuru mungu. halafu akaimega hiyo mikate, akawapa wanafunzi wake, nao wakawapa watu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,739,332,227 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK