Results for domine translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

domine

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

libera nos domine, domine

Swahili

lord deliver us, o

Last Update: 2020-01-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Latin

et dixerunt ei domine habet decem mna

Swahili

nao wakamwambia: lakini mheshimiwa, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Latin

dicunt illi domine ut aperiantur oculi nostr

Swahili

wakamjibu, "mheshimiwa, tunaomba macho yetu yafumbuliwe."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

at ille ait credo domine et procidens adoravit eu

Swahili

basi, huyo mtu akasema, "ninaamini bwana!" akamsujudia.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicit ei mulier domine video quia propheta es t

Swahili

huyo mwanamke akamwambia, "mheshimiwa, naona ya kuwa wewe u nabii.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

at illa venit et adoravit eum dicens domine adiuva m

Swahili

hapo huyo mama akaja, akapiga magoti mbele yake, akasema, "mheshimiwa, nisaidie."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicens quid tibi vis faciam at ille dixit domine ut videa

Swahili

"unataka nikufanyie nini?" naye akamjibu, "bwana, naomba nipate kuona tena."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicit ad eum regulus domine descende priusquam moriatur filius meu

Swahili

huyo ofisa akamwambia, "mheshimiwa, tafadhali twende kabla mwanangu hajafa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et ait servus domine factum est ut imperasti et adhuc locus es

Swahili

baadaye, mtumishi huyo akasema: bwana mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Latin

ait autem ei petrus domine ad nos dicis hanc parabolam an et ad omne

Swahili

petro akamwambia, "bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

ait autem petrus absit domine quia numquam manducavi omne commune et inmundu

Swahili

petro akajibu, "la, bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

accedens autem ad alterum dixit similiter at ille respondens ait eo domine et non ivi

Swahili

yule baba akamwambia mtoto wake wa pili vivyo hivyo, naye akamjibu, naam baba! lakini hakwenda kazini.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Latin

ait illi utique domine ego credidi quia tu es christus filius dei qui in mundum venist

Swahili

martha akamwambia, "ndiyo bwana! naamini kwamba wewe ndiwe kristo, mwana wa mungu, yule ajaye ulimwenguni."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

alius autem de discipulis eius ait illi domine permitte me primum ire et sepelire patrem meu

Swahili

kisha mtu mwingine miongoni mwa wanafunzi wake akamwambia, "bwana, niruhusu kwanza niende nikamzike baba yangu."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

accessit autem et qui duo talenta acceperat et ait domine duo talenta tradidisti mihi ecce alia duo lucratus su

Swahili

"mtumishi aliyekabidhiwa talanta mbili akaja, akatoa talanta mbili faida, akisema, bwana, ulinikabidhi talanta mbili. chukua talanta mbili zaidi faida niliyopata.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

ait iesus tollite lapidem dicit ei martha soror eius qui mortuus fuerat domine iam fetet quadriduanus enim es

Swahili

yesu akasema, "ondoeni hilo jiwe!" martha, dada yake huyo aliyekufa, akamwambia, "bwana, amekwishaanza kunuka; amekaa kaburini siku nne!"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

accedentes autem servi patris familias dixerunt ei domine nonne bonum semen seminasti in agro tuo unde ergo habet zizani

Swahili

watumishi wa yule mwenye shamba wakamwendea, wakamwambia, mheshimiwa, bila shaka ulipanda mbegu nzuri katika shamba lako. sasa magugu yametoka wapi?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Latin

accedens autem et qui unum talentum acceperat ait domine scio quia homo durus es metis ubi non seminasti et congregas ubi non sparsist

Swahili

"lakini yule aliyekabidhiwa talanta moja akaja, akasema, bwana, najua wewe ni mtu mgumu; wewe huvuna pale ambapo hukupanda, na kukusanya pale ambapo hukutawanya.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dignus es domine et deus noster accipere gloriam et honorem et virtutem quia tu creasti omnia et propter voluntatem tuam erant et creata sun

Swahili

"wewe ni bwana na mungu wetu, unastahili utukufu na heshima na nguvu; maana wewe uliumba vitu vyote, na kwa matakwa yako kila kitu kimepewa uhai na uzima."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,776,552,108 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK