From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
collegerunt ergo et impleverunt duodecim cofinos fragmentorum ex quinque panibus hordiaciis quae superfuerunt his qui manducaverun
basi, wakakusanya vipande vya mikate ya shayiri walivyobakiza wale watu waliokula, wakajaza vikapu kumi na viwili.
adhuc eo loquente ecce turba et qui vocabatur iudas unus de duodecim antecedebat eos et adpropinquavit iesu ut oscularetur eu
alipokuwa bado anaongea, kundi la watu likaja likiongozwa na yule aliyeitwa yuda, mmoja wa wale mitume kumi na wawili. yuda akaenda kumsalimu yesu kwa kumbusu.
adsumpsit autem iesus duodecim et ait illis ecce ascendimus hierosolyma et consummabuntur omnia quae scripta sunt per prophetas de filio homini
yesu aliwachukua kando wale kumi na wawili, akawaambia, "sikilizeni! tunakwenda yerusalemu na huko kila kitu kilichoandikwa na manabii kuhusu mwana wa mtu kitakamilishwa.
adhuc ipso loquente ecce iudas unus de duodecim venit et cum eo turba multa cum gladiis et fustibus a principibus sacerdotum et senioribus popul
basi, yesu alipokuwa bado anasema nao, mara akaja yuda, mmoja wa wale kumi na wawili. pamoja naye walikuja watu wengi wenye mapanga na marungu ambao walitumwa na makuhani wakuu na wazee wa watu.
dies autem coeperat declinare et accedentes duodecim dixerunt illi dimitte turbas ut euntes in castella villasque quae circa sunt devertant et inveniant escas quia hic in loco deserto sumu
jua lilipokuwa linaanza kutua, wale kumi na wawili walimwendea wakamwambia, "waage watu waende kwenye vijiji na mashamba ya karibu, wakajipatie chakula na mahali pa kulala, kwa maana hapa tulipo ni nyikani."
et civitas in quadro posita est et longitudo eius tanta est quanta et latitudo et mensus est civitatem de harundine per stadia duodecim milia longitudo et latitudo et altitudo eius aequalia sun
mji wenyewe ulikuwa wa mraba, upana na urefu wake sawa. basi, malaika akaupima mji huo kwa kijiti chake: ulikuwa na urefu, upana na urefu wa kwenda juu, kama kilomita elfu mbili na mia nne.
iesus autem dixit illis amen dico vobis quod vos qui secuti estis me in regeneratione cum sederit filius hominis in sede maiestatis suae sedebitis et vos super sedes duodecim iudicantes duodecim tribus israhe
yesu akawaambia, "nawaambieni kweli, mwana wa mtu atakapoketi katika kiti cha enzi cha utukufu wake katika ulimwengu mpya, ninyi mlionifuata mtaketi katika viti kumi na viwili mkiyahukumu makabila kumi na mawili ya israeli.