Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
omnia autem honeste et secundum ordinem fian
lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et ut honeste ambuletis ad eos qui foris sunt et nullius aliquid desidereti
kwa namna hiyo mtajipatia sifa nzuri kutoka kwa wale wasio wakristo, na hamtakuwa na lazima ya kuwategemea wengine kwa mahitaji yenu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
sicut in die honeste ambulemus non in comesationibus et ebrietatibus non in cubilibus et inpudicitiis non in contentione et aemulation
mwenendo wetu uwe wa adabu kama inavyostahili wakati wa mchana; tusiwe na ulafi na ulevi, uchafu na uasherati, ugomvi na wivu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: