From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
itaque linguae in signum sunt non fidelibus sed infidelibus prophetia autem non infidelibus sed fidelibu
hivyo basi, kipaji cha kusema lugha ngeni ni ishara, si kwa ajili ya watu wenye imani, bali kwa ajili ya wale wasioamini; lakini kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu ni kwa ajili ya wale wanaoamini na si kwa ajili ya wasioamini.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
nolite iugum ducere cum infidelibus quae enim participatio iustitiae cum iniquitate aut quae societas luci ad tenebra
msiambatane na watu wasioamini. je, wema na uovu vyapatana kweli? mwanga na giza vyawezaje kukaa pamoja?
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
omnia munda mundis coinquinatis autem et infidelibus nihil mundum sed inquinatae sunt eorum et mens et conscienti
kila kitu ni safi kwa watu walio safi; lakini hakuna chochote kilicho safi kwa wale waliochafuliwa na wasioamini, maana dhamiri na akili zao zimechafuliwa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: