From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in quamcumque domum intraveritis primum dicite pax huic domu
mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza wasalimuni hivi: amani iwe katika nyumba hii!
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et in quamcumque domum intraveritis ibi manete et inde ne exeati
nyumba yoyote mtakayoingia na kukaribishwa, kaeni humo mpaka mtakapoondoka katika kijiji hicho.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et in quamcumque civitatem intraveritis et susceperint vos manducate quae adponuntur vobi
kama mkifika mji fulani na watu wakiwakaribisha, kuleni wanavyowapeni.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
in quamcumque civitatem intraveritis et non receperint vos exeuntes in plateas eius dicit
lakini mkiingia katika mji wowote, wasipowakaribisheni, tokeni; nanyi mpitapo katika barabara zao semeni:
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
in quamcumque civitatem aut castellum intraveritis interrogate quis in ea dignus sit et ibi manete donec exeati
"mkiingia katika mji wowote au kijiji, tafuteni humo mtu yeyote aliye tayari kuwakaribisheni, na kaeni naye mpaka mtakapoondoka mahali hapo.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting