Results for iudicii translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

verumtamen dico vobis tyro et sidoni remissius erit in die iudicii quam vobi

Swahili

hata hivyo nawaambieni, siku ya hukumu, ninyi mtapata adhabu kubwa kuliko tiro na sidoni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

verumtamen dico vobis quia terrae sodomorum remissius erit in die iudicii quam tib

Swahili

lakini nawaambieni, siku ya hukumu itakuwa nafuu zaidi kwa watu wa sodoma, kuliko kwako wewe."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

baptismatum doctrinae inpositionis quoque manuum ac resurrectionis mortuorum et iudicii aetern

Swahili

mafundisho juu ya ubatizo na kuwekewa mikono; ufufuo wa wafu na hukumu ya milele.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

amen dico vobis tolerabilius erit terrae sodomorum et gomorraeorum in die iudicii quam illi civitat

Swahili

kweli nawaambieni, siku ya hukumu mji huo utapata adhabu kubwa kuliko ile iliyoipata miji ya sodoma na gomora.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

secundum duritiam autem tuam et inpaenitens cor thesaurizas tibi iram in die irae et revelationis iusti iudicii de

Swahili

lakini unao ugumu na ukaidi wa moyo, na hivyo unajilundikia adhabu kwa siku ile ambayo ghadhabu ya mungu na hukumu zake za haki vitadhihirishwa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

in hoc perfecta est caritas nobiscum ut fiduciam habeamus in die iudicii quia sicut ille est et nos sumus in hoc mund

Swahili

upendo umekamilika ndani yetu kusudi tuweze kuwa na ujasiri siku ile ya hukumu; kwani maisha yetu hapa duniani ni kama yale ya kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

caeli autem qui nunc sunt et terra eodem verbo repositi sunt igni servati in diem iudicii et perditionis impiorum hominu

Swahili

lakini mbingu na nchi za sasa zahifadhiwa kwa neno la mungu kwa ajili ya kuharibiwa kwa moto. zimewekwa kwa ajili ya siku ile ambapo watu wasiomcha mungu watahukumiwa na kuangamizwa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicens magna voce timete deum et date illi honorem quia venit hora iudicii eius et adorate eum qui fecit caelum et terram et mare et fontes aquaru

Swahili

akasema kwa sauti kubwa, "mcheni mungu na kumtukuza! maana saa imefika ya kutoa hukumu yake. mwabuduni yeye aliyeumba mbingu na nchi, bahari na chemchemi za maji."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,047,211 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK