Results for matrem translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

matrem

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

salutate rufum electum in domino et matrem eius et mea

Swahili

nisalimieni rufo, mtu hodari sana katika kazi ya bwana, na mama yake ambaye ni mama yangu pia.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

honora patrem et matrem et diliges proximum tuum sicut te ipsu

Swahili

waheshimu baba yako na mama yako; na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

propter hoc relinquet homo patrem suum et matrem et adherebit ad uxorem sua

Swahili

hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et non honorificabit patrem suum aut matrem et irritum fecistis mandatum dei propter traditionem vestra

Swahili

basi, hapaswi tena kumheshimu baba yake! ndivyo mnavyodharau neno la mungu kwa kufuata mafundisho yenu wenyewe.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

cum vidisset ergo iesus matrem et discipulum stantem quem diligebat dicit matri suae mulier ecce filius tuu

Swahili

yesu alipomwona mama yake, na karibu naye amesimama yule mwanafunzi aliyempenda, akamwambia mama yake: "mama! tazama, huyo ndiye mwanao."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicens surge et accipe puerum et matrem eius et vade in terram israhel defuncti sunt enim qui quaerebant animam puer

Swahili

akamwambia, "amka! mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika nchi ya israeli, maana wale waliotaka kumwua mtoto huyo wamekwisha kufa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et cum venisset domum non permisit intrare secum quemquam nisi petrum et iohannem et iacobum et patrem et matrem puella

Swahili

alipofika nyumbani hakumruhusu mtu kuingia ndani pamoja naye, isipokuwa petro, yohane, yakobo na wazazi wa huyo msichana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et dicebant nonne hic est iesus filius ioseph cuius nos novimus patrem et matrem quomodo ergo dicit hic quia de caelo descend

Swahili

wakasema, "je, huyu si mwana wa yosefu? tunawajua baba yake na mama yake! basi, anawezaje kusema kwamba ameshuka kutoka mbinguni?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dividentur pater in filium et filius in patrem suum mater in filiam et filia in matrem socrus in nurum suam et nurus in socrum sua

Swahili

baba atakuwa dhidi ya mwanawe, mwana dhidi ya baba yake; mama dhidi ya bintiye, binti dhidi ya mama yake; mama mkwe dhidi ya mke wa mwanawe na huyo dhidi ya mama mkwe wake."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et omnis qui reliquit domum vel fratres aut sorores aut patrem aut matrem aut uxorem aut filios aut agros propter nomen meum centuplum accipiet et vitam aeternam possidebi

Swahili

na kila aliyeacha nyumba, au ndugu, au dada, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, atapokea mara mia zaidi, na kupata uzima wa milele.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

qui cum recessissent ecce angelus domini apparuit in somnis ioseph dicens surge et accipe puerum et matrem eius et fuge in aegyptum et esto ibi usque dum dicam tibi futurum est enim ut herodes quaerat puerum ad perdendum eu

Swahili

baada ya wale wageni kuondoka, malaika wa bwana alimtokea yosefu katika ndoto, akamwambia, "amka! mchukue mtoto pamoja na mama yake, mkimbilie misri. kaeni huko mpaka nitakapokwambia, maana herode anakusudia kumwua huyu mtoto."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,776,169,879 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK