Results for membris translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

unde bella et lites in vobis nonne hinc ex concupiscentiis vestris quae militant in membris vestri

Swahili

mapigano na magombano yote kati yenu yanatoka wapi? hutoka katika tamaa zenu mbaya ambazo hupigana daima ndani yenu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

cum enim essemus in carne passiones peccatorum quae per legem erant operabantur in membris nostris ut fructificarent mort

Swahili

maana, tulipokuwa tukiishi kimaumbile tu, tamaa mbaya zikichochewa na sheria, zilifanya kazi katika miili yetu, na kuchuma pato la kifo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

video autem aliam legem in membris meis repugnantem legi mentis meae et captivantem me in lege peccati quae est in membris mei

Swahili

lakini naona kwamba kuna sheria nyingine inayofanya kazi mwilini mwangu, sheria ambayo inapingana na ile inayokubaliwa na akili yangu. hiyo inanifanya niwe mtumwa wa sheria ya dhambi ifanyayo kazi mwilini mwangu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et lingua ignis est universitas iniquitatis lingua constituitur in membris nostris quae maculat totum corpus et inflammat rotam nativitatis nostrae inflammata a gehenn

Swahili

hali kadhalika ulimi ni kama moto. umejaa maovu chungu nzima, unayo nafasi yake katika miili yetu na hueneza ubaya katika nafsi zetu zote. huteketeza maisha yetu yote kwa moto utokao jehanamu kwenyewe.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,909,315,627 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK