Results for mille translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

mille

Swahili

elfu

Last Update: 2015-03-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Latin

et quicumque te angariaverit mille passus vade cum illo alia du

Swahili

mtu akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Latin

ceteri mortuorum non vixerunt donec consummentur mille anni haec est resurrectio prim

Swahili

(wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka elfu moja itimie.) huu ndio ufufuo wa kwanza.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Latin

et dabo duobus testibus meis et prophetabunt diebus mille ducentis sexaginta amicti sacco

Swahili

nami nitawatuma mashahidi wangu wawili ili watangaze ujumbe wa mungu kwa muda huo wa siku elfu moja mia mbili na sitini wakiwa wamevaa mavazi ya magunia."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

unum vero hoc non lateat vos carissimi quia unus dies apud dominum sicut mille anni et mille anni sicut dies unu

Swahili

lakini, wapenzi wangu, msisahau kitu kimoja! mbele ya bwana, hakuna tofauti kati ya siku moja na miaka elfu; kwake yote ni mamoja.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Latin

et calcatus est lacus extra civitatem et exivit sanguis de lacu usque ad frenos equorum per stadia mille sescent

Swahili

zabibu zikakamuliwa ndani ya hilo shinikizo lililoko nje ya mji, na damu ikatoka katika shinikizo hilo mtiririko mrefu kiasi cha mita mia tatu na kina chake kiasi cha mita mia mbili.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Latin

beatus et sanctus qui habet partem in resurrectione prima in his secunda mors non habet potestatem sed erunt sacerdotes dei et christi et regnabunt cum illo mille anni

Swahili

wameneemeka sana, tena heri yao wote wanaoshiriki ufufuo huu wa kwanza. kifo cha pili hakitakuwa na nguvu juu yao; watakuwa makuhani wa mungu na wa kristo, na watatawala pamoja naye kwa miaka elfu moja.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Latin

et cum consummati fuerint mille anni solvetur satanas de carcere suo et exibit et seducet gentes quae sunt super quattuor angulos terrae gog et magog et congregabit eos in proelium quorum numerus est sicut harena mari

Swahili

wakati miaka elfu mia moja itakapotimia, shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Latin

et vidi sedes et sederunt super eas et iudicium datum est illis et animas decollatorum propter testimonium iesu et propter verbum dei et qui non adoraverunt bestiam neque imaginem eius nec acceperunt caracterem in frontibus aut in manibus suis et vixerunt et regnaverunt cum christo mille anni

Swahili

kisha nikaona viti vya enzi na watu walioketi juu yake; watu hao walipewa mamlaka ya hukumu. niliona pia roho za wale waliokuwa wamenyongwa kwa sababu ya kumtangaza yesu na kwa sababu ya neno la mungu. hawa hawakumwabudu yule mnyama na sanamu yake, wala hawakupigwa alama yake juu ya paji za nyuso zao, au juu ya mikono yao. walipata tena uhai, wakatawala pamoja na kristo kwa muda wa miaka elfu moja.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,944,422,529 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK