From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
et secutae sunt eum turbae multae et curavit eos ib
watu wengi walimfuata huko, naye akawaponya.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ibant autem turbae multae cum eo et conversus dixit ad illo
hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na yesu. basi, akawageukia akawaambia,
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
erant autem ibi mulieres multae a longe quae secutae erant iesum a galilaea ministrantes e
mahali hapo walikuwapo wanawake wengi wakitazama kwa mbali. hao ndio wale waliomfuata yesu kutoka galilaya wakimtumikia.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et iohanna uxor chuza procuratoris herodis et susanna et aliae multae quae ministrabant eis de facultatibus sui
yoana, mke wa kuza, mfanyakazi mkuu wa herode; susana na wengine kadhaa. hao wanawake walikuwa wakiwatumikia kwa mali yao wenyewe.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
erat autem et iohannes baptizans in aenon iuxta salim quia aquae multae erant illic et adveniebant et baptizabantu
yohane pia alikuwa akibatiza watu huko ainoni, karibu na salemu, maana huko kulikuwa na maji mengi. watu walimwendea, naye akawabatiza.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et accesserunt ad eum turbae multae habentes secum mutos clodos caecos debiles et alios multos et proiecerunt eos ad pedes eius et curavit eo
watu wengi sana wakamjia wakiwaleta vilema, vipofu, viwete, bubu na wengine wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaweka mbele ya miguu yake, naye yesu akawaponya.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
in veritate dico vobis multae viduae erant in diebus heliae in israhel quando clusum est caelum annis tribus et mensibus sex cum facta est fames magna in omni terr
lakini, sikilizeni! kweli kulikuwa na wajane wengi katika nchi ya israeli nyakati za eliya. wakati huo mvua iliacha kunyesha kwa muda wa miaka mitatu na nusu; kukawa na njaa kubwa katika nchi yote.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: