Results for noster translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

noster

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

etenim deus noster ignis consumens es

Swahili

maana mungu wetu kweli ni moto mkali unaoteketeza.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

itaque lex pedagogus noster fuit in christo ut ex fide iustificemu

Swahili

basi, hiyo sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa waadilifu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

sic ergo vos orabitis pater noster qui in caelis es sanctificetur nomen tuu

Swahili

basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: baba yetu uliye mbinguni: jina lako litukuzwe.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

fidelis autem deus quia sermo noster qui fit apud vos non est in illo est et no

Swahili

mungu ni ukweli mtupu; basi, kile tulichowaambia ninyi si jambo la "ndiyo" na "siyo".

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

abraham pater noster nonne ex operibus iustificatus est offerens isaac filium suum super altar

Swahili

je, abrahamu baba yetu alipataje kukubalika mbele yake mungu? kwa matendo yake, wakati alipomtoa mwanae isaka sadaka juu ya madhabahu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

certus quod velox est depositio tabernaculi mei secundum quod et dominus noster iesus christus significavit mih

Swahili

najua kwamba karibu nitauweka kando mwili huu wenye kufa, kama bwana alivyoniambia waziwazi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

hoc scientes quia vetus homo noster simul crucifixus est ut destruatur corpus peccati ut ultra non serviamus peccat

Swahili

tunajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja na kristo, ili hali ya dhambi iharibiwe, tusiwe tena watumwa wa dhambi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et domini nostri longanimitatem salutem arbitramini sicut et carissimus frater noster paulus secundum datam sibi sapientiam scripsit vobi

Swahili

mnapaswa kuuona uvumilivu wa bwana kuwa ni nafasi anayowapeni mpate kuokolewa, kama paulo ndugu yetu mpenzi alivyowaandikia akitumia hekima aliyopewa na mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ipse autem dominus noster iesus christus et deus et pater noster qui dilexit nos et dedit consolationem aeternam et spem bonam in grati

Swahili

tunamwomba bwana wetu yesu kristo mwenyewe na mungu baba yetu ambaye alitupenda, na kwa neema yake akatujalia faraja ya milele na tumaini jema,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dignus es domine et deus noster accipere gloriam et honorem et virtutem quia tu creasti omnia et propter voluntatem tuam erant et creata sun

Swahili

"wewe ni bwana na mungu wetu, unastahili utukufu na heshima na nguvu; maana wewe uliumba vitu vyote, na kwa matakwa yako kila kitu kimepewa uhai na uzima."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et audivi quasi vocem turbae magnae et sicut vocem aquarum multarum et sicut vocem tonitruum magnorum dicentium alleluia quoniam regnavit dominus deus noster omnipoten

Swahili

kisha nikasikia kitu kama sauti ya umati mkubwa wa watu na sauti ya maji mengi na ya ngurumo kubwa, ikisema, "haleluya! maana bwana mungu wetu mwenye uwezo ni mfalme!

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,800,509,283 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK