Results for oportet translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

oportet

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

illum oportet crescere me autem minu

Swahili

ni lazima yeye azidi kuwa maarufu, na mimi nipungue.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ut manifestem illud ita ut oportet me loqu

Swahili

basi, ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

in insulam autem quandam oportet nos devenir

Swahili

lakini ni lazima tutatupwa ufukoni mwa kisiwa fulani."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

laborantem agricolam oportet primum de fructibus acciper

Swahili

mkulima ambaye amefanya kazi ngumu anastahili kupata sehemu ya kwanza ya mavuno.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et in omnes gentes primum oportet praedicari evangeliu

Swahili

lakini lazima kwanza habari njema ihubiriwe kwa mataifa yote.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

mulieres subditae estote viris sicut oportet in domin

Swahili

enyi akina mama, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo bwana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

nondum enim sciebant scripturam quia oportet eum a mortuis resurger

Swahili

(walikuwa bado hawajaelewa maandiko matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka wafu).

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

in quo exultatis modicum nunc si oportet contristati in variis temptationibu

Swahili

furahini kuhusu jambo hilo, ijapokuwa sasa, kwa kitambo kidogo, itawabidi kuhuzunika kwa sababu ya majaribio mbalimbali mnayoteseka.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

oportet enim corruptibile hoc induere incorruptelam et mortale hoc induere inmortalitate

Swahili

maana ni lazima kila kiharibikacho kijivalie hali ya kutoharibika, mwili uwezao kufa ujivalie hali ya kutokufa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et producens eos foras ait domini quid me oportet facere ut salvus fia

Swahili

halafu aliwaongoza nje, akawauliza, "waheshimiwa, nifanye nini nipate kuokoka?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

cum ergo his contradici non possit oportet vos sedatos esse et nihil temere ager

Swahili

hakuna anayeweza kukana mambo haya. hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicebat autem et parabolam ad illos quoniam oportet semper orare et non deficer

Swahili

basi, yesu aliwasimulia mfano kuonyesha kwamba ni lazima kusali daima bila kukata tamaa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

cum haec igitur omnia dissolvenda sint quales oportet esse vos in sanctis conversationibus et pietatibu

Swahili

maadamu kila kitu kitaharibiwa namna hiyo, je, ninyi mnapaswa kuwa watu wa namna gani? mnapaswa kuishi kitakatifu na kumcha mungu,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

oportet ergo episcopum inreprehensibilem esse unius uxoris virum sobrium prudentem ornatum hospitalem doctore

Swahili

basi, kiongozi wa kanisa anapaswa awe mtu asiye na lawama; anapaswa awe na mke mmoja tu, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha;

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

cum autem audieritis proelia et seditiones nolite terreri oportet primum haec fieri sed non statim fini

Swahili

basi, mtakaposikia habari za vita na misukosuko, msitishike; maana ni lazima hayo yatokee kwanza, lakini mwisho wa yote, bado."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

audituri autem estis proelia et opiniones proeliorum videte ne turbemini oportet enim haec fieri sed nondum est fini

Swahili

mtasikia juu ya vita na fununu za vita; lakini msifadhaike, maana hayo hayana budi kutokea, lakini mwisho wenyewe ungali bado.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et non est in alio aliquo salus nec enim nomen aliud est sub caelo datum hominibus in quo oportet nos salvos fier

Swahili

wokovu haupatikani kwa mtu mwingine yeyote, kwa maana duniani pote, binadamu hawakupewa jina la mtu mwingine ambaye sisi tunaweza kuokolewa naye."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicens quia oportet filium hominis multa pati et reprobari a senioribus et principibus sacerdotum et scribis et occidi et tertia die resurger

Swahili

akaendelea kusema: "ni lazima mwana wa mtu apate mateso mengi na kukataliwa na wazee na makuhani wakuu na walimu wa sheria; atauawa, lakini siku ya tatu atafufuliwa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

apocalypsis iesu christi quam dedit illi deus palam facere servis suis quae oportet fieri cito et significavit mittens per angelum suum servo suo iohann

Swahili

hizi ni habari za mambo ambayo yalifunuliwa na yesu kristo. mungu alimpa kristo ufunuo huu ili awaonyeshe watumishi wake mambo ambayo yanapaswa kutukia karibuni. kristo alimtuma malaika wake amjulishe yohane, mtumishi wake, mambo hayo,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dico enim per gratiam quae data est mihi omnibus qui sunt inter vos non plus sapere quam oportet sapere sed sapere ad sobrietatem unicuique sicut deus divisit mensuram fide

Swahili

kutokana na neema aliyonijalia mungu, nawaambieni ninyi nyote: msijione kuwa ni kitu zaidi kuliko mnavyopaswa kuwa. fikira zenu na ziwe na kiasi kufuatana na kipimo cha imani mungu aliyomgawia kila mmoja.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,789,026,732 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK