From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
et viam pacis non cognoverun
njia ya amani hawaijui.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
deus autem pacis sit cum omnibus vobis ame
mungu aliye chanzo cha amani na awe nanyi nyote! amina!
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
itaque quae pacis sunt sectemur et quae aedificationis sunt in invice
kwa hiyo tuyazingatie daima mambo yenye kuleta amani, na yanayotusaidia kujengana.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
non enim est dissensionis deus sed pacis sicut in omnibus ecclesiis sanctoru
maana mungu si mungu wa fujo, ila wa amani.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
alioquin adhuc illo longe agente legationem mittens rogat ea quae pacis sun
kama anaona hataweza, atawatuma wajumbe kutaka masharti ya amani wakati mfalme huyo mwingine angali mbali.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ipse autem dominus pacis det vobis pacem sempiternam in omni loco dominus cum omnibus vobi
bwana mwenyewe ndiye chanzo cha amani, awajalieni amani siku zote kwa kila namna. bwana awe nanyi nyote.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et si ibi fuerit filius pacis requiescet super illam pax vestra sin autem ad vos revertetu
kama akiwako mwenye kupenda amani, amani yenu itakaa naye, la sivyo, itawarudieni.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
deus autem pacis conteret satanan sub pedibus vestris velociter gratia domini nostri iesu christi vobiscu
naye mungu aliye chanzo cha amani hatakawia kumponda shetani chini ya miguu yenu. neema ya bwana wetu yesu kristo iwe nanyi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
de cetero fratres gaudete perfecti estote exhortamini idem sapite pacem habete et deus dilectionis et pacis erit vobiscu
kwa sasa, ndugu, kwaherini! muwe na ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. naye mungu wa mapendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ipse autem deus pacis sanctificet vos per omnia et integer spiritus vester et anima et corpus sine querella in adventu domini nostri iesu christi servetu
mungu anayetupatia amani awafanye ninyi watakatifu kwa kila namna na kuzilinda nafsi zenu--roho, mioyo na miili yenu--mbali na hatia yoyote wakati wa kuja kwake bwana wetu yesu kristo.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: