From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ita et nos cum essemus parvuli sub elementis mundi eramus serviente
hali kadhalika na sisi tulipokuwa bado watoto, tulikuwa watumwa wa pepo watawala wa ulimwengu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
manducantium autem fuit numerus quinque milia virorum exceptis mulieribus et parvuli
jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao elfu tano, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
tunc oblati sunt ei parvuli ut manus eis inponeret et oraret discipuli autem increpabant ei
kisha watu wakamletea yesu watoto wadogo ili awawekee mikono na kuwaombea. lakini wanafunzi wakawakemea.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
fratres nolite pueri effici sensibus sed malitia parvuli estote sensibus autem perfecti estot
ndugu, msiwe kama watoto katika fikira zenu. kuhusu uovu muwe kama watoto wachanga lakini katika kufikiri ni lazima muwe kama watu waliokomaa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et dixit amen dico vobis nisi conversi fueritis et efficiamini sicut parvuli non intrabitis in regnum caeloru
kisha akasema, "nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ut iam non simus parvuli fluctuantes et circumferamur omni vento doctrinae in nequitia hominum in astutia ad circumventionem errori
basi, hatutakuwa tena kama watoto, tukitupwa na kupeperushwa huko na huko kwa kila upepo wa mafundisho wanayozua watu wadanganyifu, ili wawapotoshe wengine kwa hila.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
in illo tempore respondens iesus dixit confiteor tibi pater domine caeli et terrae quia abscondisti haec a sapientibus et prudentibus et revelasti ea parvuli
wakati huo yesu alisema, "nakushukuru ee baba, bwana wa mbingu na dunia, maana umewaficha wenye hekima mambo haya, ukawafumbulia watoto wadogo.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting