From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
patres vestri manducaverunt in deserto manna et mortui sun
wazee wenu walikula mana kule jangwani, lakini walikufa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ubi temptaverunt me patres vestri probaverunt et viderunt opera me
huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, asema bwana, ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu kwa miaka arobaini.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et descendit iacob in aegyptum et defunctus est ipse et patres nostr
hivyo, yakobo alikwenda misri ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
sicut locutus est ad patres nostros abraham et semini eius in saecul
kama alivyowaahidia wazee wetu abrahamu na wazawa wake hata milele."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hic circumveniens genus nostrum adflixit patres ut exponerent infantes suos ne vivificarentu
alilifanyia taifa letu ukatili, akawatendea vibaya babu zetu kwa kuwalazimisha waweke nje watoto wao wachanga ili wafe.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
cui noluerunt oboedire patres nostri sed reppulerunt et aversi sunt cordibus suis in aegyptu
"lakini yeye ndiye babu zetu waliyemkataa kumsikiliza; walimsukuma kando, wakatamani kurudi misri.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nolo enim vos ignorare fratres quoniam patres nostri omnes sub nube fuerunt et omnes mare transierun
ndugu, nataka mjue kwamba babu zetu wote walikuwa chini ya ulinzi wa lile wingu, na kwamba wote walivuka salama ile bahari.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
david enim sua generatione cum administrasset voluntati dei dormivit et adpositus est ad patres suos et vidit corruptione
sasa, daudi mwenyewe alitimiza mapenzi ya mungu wakati wake; kisha akafa na kuzikwa karibu na wazee wake, na mwili wake ukaoza.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
dura cervice et incircumcisi cordibus et auribus vos semper spiritui sancto resistitis sicut patres vestri et vo
"enyi wakaidi wakuu! mioyo na masikio yenu ni kama ya watu wa mataifa. ninyi ni kama baba zenu. siku zote mnampinga roho mtakatifu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
deinde patres quidem carnis nostrae habuimus eruditores et reverebamur non multo magis obtemperabimus patri spirituum et vivemu
zaidi ya hayo sisi tunawaheshimu wazazi wetu waliotuzaa hata wanapotuadhibu. basi, tunapaswa kumtii zaidi baba yetu wa kiroho ili tupate kuishi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hic est panis qui de caelo descendit non sicut manducaverunt patres vestri manna et mortui sunt qui manducat hunc panem vivet in aeternu
yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule kafarnaumu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
cumque invicem non essent consentientes discedebant dicente paulo unum verbum quia bene spiritus sanctus locutus est per esaiam prophetam ad patres nostro
basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. walipokuwa wanakwenda zao, paulo alisema jambo hili, "kweli ni sawa yale aliyoyanena roho mtakatifu kwa wazee wenu kwa njia ya nabii isaya
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
scripsi vobis infantes quoniam cognovistis patrem scripsi vobis patres quia cognovistis eum qui ab initio scripsi vobis adulescentes quia fortes estis et verbum dei in vobis manet et vicistis malignu
nawaandikieni ninyi watoto, kwa sababu mnamjua baba. nawaandikieni ninyi kina baba, kwa kuwa mnamjua yeye ambaye amekuwako tangu mwanzo. nawaandikieni ninyi vijana kwa sababu mna nguvu; neno la mungu limo ndani yenu na mmemshinda yule mwovu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: