From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
estote ergo vos perfecti sicut et pater vester caelestis perfectus es
basi, muwe wakamilifu kama baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
patientia autem opus perfectum habeat ut sitis perfecti et integri in nullo deficiente
muwe na hakika kwamba uvumilivu wenu utawategemeza mpaka mwisho, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu, bila kupungukiwa chochote.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
fratres nolite pueri effici sensibus sed malitia parvuli estote sensibus autem perfecti estot
ndugu, msiwe kama watoto katika fikira zenu. kuhusu uovu muwe kama watoto wachanga lakini katika kufikiri ni lazima muwe kama watu waliokomaa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
de cetero fratres gaudete perfecti estote exhortamini idem sapite pacem habete et deus dilectionis et pacis erit vobiscu
kwa sasa, ndugu, kwaherini! muwe na ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. naye mungu wa mapendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
salutat vos epaphras qui ex vobis est servus christi iesu semper sollicitus pro vobis in orationibus ut stetis perfecti et pleni in omni voluntate de
epafra, mwananchi mwenzenu na mtumishi wa kristo yesu anawasalimuni. daima anawaombeeni ninyi kwa bidii ili mpate kusimama imara, mkomae na kuwa thabiti kabisa katika mambo yote anayotaka mungu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
obsecro autem vos fratres per nomen domini nostri iesu christi ut id ipsum dicatis omnes et non sint in vobis scismata sitis autem perfecti in eodem sensu et in eadem sententi
ndugu, ninawasihi kwa jina la bwana wetu yesu kristo: pataneni nyote katika kila jambo msemalo; yasiweko mafarakano kati yenu; muwe na fikira moja na nia moja.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: