From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
veritatem dico in christo non mentior testimonium mihi perhibente conscientia mea in spiritu sanct
nasema ukweli mtupu; nimeungana na kristo nami sisemi uongo. dhamiri yangu ikiongozwa na roho mtakatifu inanithibitishia jambo hili pia.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
fide plurimam hostiam abel quam cain obtulit deo per quam testimonium consecutus est esse iustus testimonium perhibente muneribus eius deo et per illam defunctus adhuc loquitu
kwa imani abeli alimtolea mungu dhabihu iliyokuwa bora zaidi kuliko ile ya kaini. kwa imani yake alikubaliwa na mungu kuwa mwadilifu; mungu mwenyewe alizikubali sadaka zake. kwa imani yake ingawa amekufa, bado ananena.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: