Results for potest translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

non est nomen cui datum potest servari.

Swahili

jina la faili linayohifadhiwa halipo

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et dixerunt qui audiebant et quis potest salvus fier

Swahili

wale watu waliposikia hayo, wakasema, "nani basi, atakayeokolewa?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et si regnum in se dividatur non potest stare regnum illu

Swahili

ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi yanayopigana, utawala huo hauwezi kudumu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

quid hic sic loquitur blasphemat quis potest dimittere peccata nisi solus deu

Swahili

"anathubutuje kusema hivyo? anamkufuru mungu! hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mungu peke yake."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

qui magis admirabantur dicentes ad semet ipsos et quis potest salvus fier

Swahili

wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, "ni nani basi, atakayeweza kuokoka?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et qui non baiulat crucem suam et venit post me non potest esse meus discipulu

Swahili

mtu asipochukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et convocatis eis in parabolis dicebat illis quomodo potest satanas satanan eicer

Swahili

hapo yesu akawaita, akawaambia kwa mifano, "shetani anawezaje kumfukuza shetani?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et dixit ei nathanahel a nazareth potest aliquid boni esse dicit ei philippus veni et vid

Swahili

naye nathanieli akamwuliza filipo, "je, kitu chema chaweza kutoka nazareti?" filipo akamwambia, "njoo uone."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

alii dicebant haec verba non sunt daemonium habentis numquid daemonium potest caecorum oculos aperir

Swahili

wengine wakasema, "haya si maneno ya mwenye pepo. je, pepo anaweza kuyafumbua macho ya vipofu?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicebat autem illis et similitudinem numquid potest caecus caecum ducere nonne ambo in foveam caden

Swahili

akawaambia mfano huu: "je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? la! wote wataanguka shimoni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

animalis autem homo non percipit ea quae sunt spiritus dei stultitia est enim illi et non potest intellegere quia spiritaliter examinatu

Swahili

mtu wa kidunia hapokei mambo ya roho wa mungu. kwake mtu huyo mambo hayo ni upumbavu mtupu; yanapita akili yake; maana yanaweza tu kutambuliwa kwa msaada wa roho.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

alios salvos fecit se ipsum non potest salvum facere si rex israhel est descendat nunc de cruce et credemus e

Swahili

"aliwaokoa wengine, lakini kujiokoa mwenyewe hawezi! eti yeye ni mfalme wa wayahudi! basi, sasa na ashuke msalabani, nasi tutamwamini.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

aut quomodo potest quisquam intrare in domum fortis et vasa eius diripere nisi prius alligaverit fortem et tunc domum illius diripia

Swahili

"au, anawezaje mtu kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyang'anya mali yake, bila kwanza kumfunga huyo mtu mwenye nguvu? hapo ndipo atakapoweza kumnyang'anya mali yake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

amen amen dico vobis non potest filius a se facere quicquam nisi quod viderit patrem facientem quaecumque enim ille fecerit haec et filius similiter faci

Swahili

yesu akawaambia, "kweli nawaambieni, mwana hawezi kufanya kitu peke yake; anaweza tu kufanya kile anachomwona baba akikifanya. maana kile anachofanya baba, mwana hukifanya vilevile.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dicebant ergo ex pharisaeis quidam non est hic homo a deo quia sabbatum non custodit alii dicebant quomodo potest homo peccator haec signa facere et scisma erat in ei

Swahili

baadhi ya mafarisayo wakasema, "mtu huyu hakutoka kwa mungu, maana hashiki sheria ya sabato." lakini wengine wakasema, "mtu mwenye dhambi awezaje kufanya ishara za namna hii?" kukawa na mafarakano kati yao.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

virtus maximus gnome est communitas valida. quisquam paene, cum vel sine arte condocefactionis, potest adiuvare gnome melius facere.

Swahili

msingi kuu ya gnome ni washuhudi wetu.takriban kila mtu alie au asie na ujuzi wa kutunga programu anauwezo wa kusaidia kuboresha gnome

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,832,176 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK