Results for propterea translation from Latin to Swahili

Latin

Translate

propterea

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

propterea non poterant credere quia iterum dixit esaia

Swahili

hivyo hawakuweza kuamini, kwani isaya tena alisema:

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

propterea persequebantur iudaei iesum quia haec faciebat in sabbat

Swahili

kwa vile yesu alifanya jambo hilo siku ya sabato, wayahudi walianza kumdhulumu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

propterea parentes eius dixerunt quia aetatem habet ipsum interrogat

Swahili

ndiyo maana wazazi wake walisema: "yeye ni mtu mzima, mwulizeni."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

propterea nolite fieri inprudentes sed intellegentes quae sit voluntas domin

Swahili

kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya bwana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et inde cum sustulissemus subnavigavimus cypro propterea quod essent venti contrari

Swahili

kutoka huko tuliendelea na safari, lakini kwa kuwa upepo ulikuwa unavuma kwa kasi kutujia kwa mbele, tulipitia upande wa kisiwa cha kupro ambapo upepo haukuwa mwingi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ego nesciebam eum sed ut manifestaretur israhel propterea veni ego in aqua baptizan

Swahili

mimi mwenyewe sikumfahamu, lakini nimekuja kubatiza kwa maji ili watu wa israeli wapate kumjua."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

qui est ex deo verba dei audit propterea vos non auditis quia ex deo non esti

Swahili

aliye wa mungu husikiliza maneno ya mungu. lakini ninyi hamsikilizi kwa sababu ninyi si (watu wa) mungu."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

omnia quaecumque habet pater mea sunt propterea dixi quia de meo accipit et adnuntiabit vobi

Swahili

vyote alivyo navyo baba ni vyangu; ndiyo maana nimesema kwamba huyo roho mtakatifu atawaambieni yale atakayopata kutoka kwangu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dilexisti iustitiam et odisti iniquitatem propterea unxit te deus deus tuus oleo exultationis prae participibus tui

Swahili

wewe wapenda uadilifu na kuchukia uovu. ndiyo maana mungu, mungu wako amekuweka wakfu na kukumiminia furaha kubwa zaidi kuliko wenzako."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et dicebat propterea dixi vobis quia nemo potest venire ad me nisi fuerit ei datum a patre me

Swahili

kutokana na hayo, wengi wa wafuasi wake walirudi nyuma wasiandamane naye tena.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

propterea tradidit illos deus in passiones ignominiae nam feminae eorum inmutaverunt naturalem usum in eum usum qui est contra natura

Swahili

kwa hiyo, mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya. hata wanawake wanabadili matumizi yanayopatana na maumbile.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

propterea et ego amplius non sustinens misi ad cognoscendam fidem vestram ne forte temptaverit vos is qui temptat et inanis fiat labor noste

Swahili

ndio maana nilimtuma timotheo kwenu. sikuweza kungoja zaidi, na hivyo nilimtuma nipate habari za imani yenu. isije ikawa labda mshawishi aliwajaribuni na kazi yote tuliyofanya miongoni mwenu imepotea bure!

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et audivit herodes rex manifestum enim factum est nomen eius et dicebat quia iohannes baptista resurrexit a mortuis et propterea inoperantur virtutes in ill

Swahili

basi, mfalme herode alisikia juu ya hayo yote, maana sifa za yesu zilienea kila mahali. baadhi ya watu walikuwa wakisema, "yohane mbatizaji amefufuka kutoka wafu, ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

propterea ergo magis quaerebant eum iudaei interficere quia non solum solvebat sabbatum sed et patrem suum dicebat deum aequalem se faciens deo respondit itaque iesus et dixit ei

Swahili

kwa sababu ya maneno haya, viongozi wa wayahudi walizidi kutafuta njia ya kumwua yesu: si kwa kuwa aliivunja sheria ya sabato tu, bali pia kwa kuwa alisema kwamba mungu ni baba yake, na hivyo akajifanya sawa na mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,614,445 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK