From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
et respicientes vident revolutum lapidem erat quippe magnus vald
lakini walipotazama, waliona jiwe limekwisha ondolewa. (nalo lilikuwa kubwa mno.)
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
nemo quippe in occulto quid facit et quaerit ipse in palam esse si haec facis manifesta te ipsum mund
mtu hafanyi mambo kwa siri kama anataka kujulikana kwa watu. maadam unafanya mambo haya, basi, jidhihirishe kwa ulimwengu."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
amen quippe dico vobis donec transeat caelum et terra iota unum aut unus apex non praeteribit a lege donec omnia fian
kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
amen quippe dico vobis quia multi prophetae et iusti cupierunt videre quae videtis et non viderunt et audire quae auditis et non audierun
kweli nawaambieni, manabii na watu wengi wema walitamani kuyaona yale mnayoyaona, wasiyaone, na kuyasikia yale mnayoyasikia, wasiyasikie.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
date et dabitur vobis mensuram bonam confersam et coagitatam et supereffluentem dabunt in sinum vestrum eadem quippe mensura qua mensi fueritis remetietur vobi
wapeni wengine wanavyohitaji, nanyi mtapewa. naam, mtapokea mikononi mwenu kipimo kilichojaa, kikashindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika. kwa maana kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho ambacho mungu atatumia kwenu."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
dicit illis propter incredulitatem vestram amen quippe dico vobis si habueritis fidem sicut granum sinapis dicetis monti huic transi hinc et transibit et nihil inpossibile erit vobi
kisha wanafunzi wakamwendea yesu kwa faragha, wakamwuliza, "kwa nini sisi hatukuweza kumtoa yule pepo?"
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting