Results for quis eum translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

non habentibus illis unde redderent donavit utrisque quis ergo eum plus dilige

Swahili

waliposhindwa kulipa madeni yao, huyo mtu aliwasamehe wote wawili. sasa ni yupi kati ya hao wawili atampenda zaidi huyo bwana?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

si quis se existimat scire aliquid nondum cognovit quemadmodum oporteat eum scir

Swahili

anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

non ex operibus ut ne quis glorietu

Swahili

wala halitokani na matendo yenu wenyewe, asije mtu akajivunia kitu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

quis enim cognovit sensum domini qui instruat eum nos autem sensum christi habemu

Swahili

maandiko yasema: "nani awezaye kuifahamu akili ya bwana? nani awezaye kumshauri?" lakini sisi tunayo akili ya kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

multi ergo audientes ex discipulis eius dixerunt durus est hic sermo quis potest eum audir

Swahili

yesu alijua bila kuambiwa na mtu kwamba wanafunzi wake walikuwa wananung'unika juu ya jambo hilo, akawauliza, "je, jambo hili linawafanya muwe na mashaka?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

aut quis prior dedit illi et retribuetur e

Swahili

au, nani aliyempa yeye kitu kwanza hata aweze kulipwa tena kitu hicho?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

currebatis bene quis vos inpedivit veritati non oboedir

Swahili

mwenendo wenu ulikuwa mzuri! nani, basi aliyewazuia kuuzingatia ukweli?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicentes prophetiza nobis christe quis est qui te percussi

Swahili

wakasema, "haya kristo, tutabirie; ni nani amekupiga!"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et respondens iesus dixit eis videte ne quis vos seduca

Swahili

yesu akawajibu, "jihadharini msije mkadanganywa na mtu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

a saeculo non est auditum quia aperuit quis oculos caeci nat

Swahili

tangu mwanzo wa ulimwengu haijasikika kwamba mtu ameyafumbua macho ya mtu aliyezaliwa kipofu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

at ille dixit ei homo quis me constituit iudicem aut divisorem super vo

Swahili

yesu akamjibu, "rafiki, ni nani aliyeniweka mimi mwamuzi au msuluhishi kati yenu?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

amen amen dico vobis si quis sermonem meum servaverit mortem non videbit in aeternu

Swahili

kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

ego autem dixi quis es domine dominus autem dixit ego sum iesus quem tu persequeri

Swahili

mimi nikauliza: ni nani wewe bwana? naye bwana akajibu: mimi ni yesu ambaye wewe unamtesa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicit eis iesus venite prandete et nemo audebat discentium interrogare eum tu quis es scientes quia dominus esse

Swahili

yesu akawaambia, "njoni mkafungue kinywa." hakuna hata mmoja wao aliyethubutu kumwuliza: "wewe ni nani?" maana walijua alikuwa bwana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et hoc est testimonium iohannis quando miserunt iudaei ab hierosolymis sacerdotes et levitas ad eum ut interrogarent eum tu quis e

Swahili

huu ndio ushahidi yohane alioutoa wakati viongozi wa wayahudi kule yerusalemu walipowatuma makuhani wa walawi kwake wamwulize: "wewe u nani?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et cum venisset in templum accesserunt ad eum docentem principes sacerdotum et seniores populi dicentes in qua potestate haec facis et quis tibi dedit hanc potestate

Swahili

yesu aliingia hekaluni, akawa anafundisha. alipokuwa akifundisha, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwuliza, "unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? nani amekupa mamlaka haya?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,946,013,913 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK