Results for quosdam translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

quosdam

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

et mittunt ad eum quosdam ex pharisaeis et herodianis ut eum caperent in verb

Swahili

basi, baadhi ya mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha herode walitumwa ili wamtege yesu kwa maneno yake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

audimus enim inter vos quosdam ambulare inquiete nihil operantes sed curiose agente

Swahili

tunasema mambo hayo kwa sababu tumesikia kwamba wako baadhi yenu ambao ni wavivu na ambao hawafanyi chochote, isipokuwa tu kujiingiza katika mambo ya watu wengine.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dixit autem et ad quosdam qui in se confidebant tamquam iusti et aspernabantur ceteros parabolam ista

Swahili

halafu yesu aliwaambia pia mfano wa wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau wengine.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et rursum alium misit et illum occiderunt et plures alios quosdam caedentes alios vero occidente

Swahili

mwenye shamba akatuma mtumishi mwingine tena, na huyo wakamuua. wengine wengi waliotumwa, baadhi yao walipigwa, na wengi wakauawa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ipse dedit quosdam quidem apostolos quosdam autem prophetas alios vero evangelistas alios autem pastores et doctore

Swahili

ndiye aliyewapa watu zawadi: wengine aliwajalia wawe mitume, wengine manabii, wengine wawe waeneza habari njema, wengine wachungaji na walimu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

factum est autem cum apollo esset corinthi ut paulus peragratis superioribus partibus veniret ephesum et inveniret quosdam discipulo

Swahili

wakati apolo alipokuwa korintho, paulo alisafiri sehemu za bara, akafika efeso ambako aliwakuta wanafunzi kadhaa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ceteros alios in tabulis ferebant quosdam super ea quae de navi essent et sic factum est ut omnes animae evaderent ad terra

Swahili

na wengine wafuate wakijishikilia kwenye mbao au kwenye vipande vya meli iliyovunjika. ndivyo sisi sote tulivyofika salama pwani.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et quosdam quidem posuit deus in ecclesia primum apostolos secundo prophetas tertio doctores deinde virtutes exin gratias curationum opitulationes gubernationes genera linguaru

Swahili

mungu ameweka katika kanisa: kwanza mitume, pili manabii, tatu walimu; kisha ameweka wale wenye kipaji cha kufanya miujiza, kuponya, kusaidia; viongozi na wenye kusema lugha ngeni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

zelantes autem iudaei adsumentesque de vulgo viros quosdam malos et turba facta concitaverunt civitatem et adsistentes domui iasonis quaerebant eos producere in populu

Swahili

lakini wayahudi wakaona wivu; wakawakodi wafidhuli sokoni, wakafanya kikundi na kuzusha fujo mjini kote. wakaivamia nyumba ya yasoni wakitumaini kuwapata humo paulo na sila ili wawalete hadharani.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,730,436,464 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK