Results for sapientiam translation from Latin to Swahili

Latin

Translate

sapientiam

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

quoniam et iudaei signa petunt et graeci sapientiam quaerun

Swahili

wayahudi wanataka ishara, na wagiriki wanatafuta hekima;

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

scriptum est enim perdam sapientiam sapientium et prudentiam prudentium reprobab

Swahili

maana maandiko matakatifu yasema: "nitaiharibu hekima yao wenye hekima, na elimu ya wataalamu nitaitupilia mbali."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

ego enim dabo vobis os et sapientiam cui non poterunt resistere et contradicere omnes adversarii vestr

Swahili

kwa sababu mimi mwenyewe nitawapeni ufasaha wa maneno na hekima, hivyo kwamba zenu hawataweza kustahimili wala kupinga.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

nam quia in dei sapientia non cognovit mundus per sapientiam deum placuit deo per stultitiam praedicationis salvos facere credente

Swahili

maana, kadiri ya hekima ya mungu, watu hawawezi kumjua mungu kwa njia ya hekima yao wenyewe. badala yake, mungu amependa kuwaokoa wale wanaoamini kwa njia ya kile ambacho wenye hekima wanakiona kuwa ni upumbavu, yaani ujumbe tunaohubiri.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et domini nostri longanimitatem salutem arbitramini sicut et carissimus frater noster paulus secundum datam sibi sapientiam scripsit vobi

Swahili

mnapaswa kuuona uvumilivu wa bwana kuwa ni nafasi anayowapeni mpate kuokolewa, kama paulo ndugu yetu mpenzi alivyowaandikia akitumia hekima aliyopewa na mungu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicentium voce magna dignus est agnus qui occisus est accipere virtutem et divinitatem et sapientiam et fortitudinem et honorem et gloriam et benedictione

Swahili

wakasema kwa sauti kuu: "mwanakondoo aliyechinjwa anastahili kupokea uwezo, utajiri, hekima, nguvu, utukufu na sifa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

regina austri surget in iudicio cum generatione ista et condemnabit eam quia venit a finibus terrae audire sapientiam salomonis et ecce plus quam salomon hi

Swahili

malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atakihukumu kwamba kina hatia. maana yeye alisafiri kutoka mbali akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko solomoni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

regina austri surget in iudicio cum viris generationis huius et condemnabit illos quia venit a finibus terrae audire sapientiam salomonis et ecce plus salomone hi

Swahili

malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atashuhudia kwamba kina hatia. yeye alisafiri kutoka mbali, akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni; kumbe hapa pana mkuu zaidi kuliko solomoni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et eripuit eum ex omnibus tribulationibus eius et dedit ei gratiam et sapientiam in conspectu pharaonis regis aegypti et constituit eum praepositum super aegyptum et super omnem domum sua

Swahili

akamwokoa katika taabu zake zote. mungu alimjalia fadhili na hekima mbele ya farao, mfalme wa misri, hata farao akamweka awe mkuu wa ile nchi na nyumba ya kifalme.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,891,535,162 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK