From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
et in primis cathedris sedere in synagogis et primos discubitus in ceni
na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
sedere autem ad dexteram meam vel ad sinistram non est meum dare sed quibus paratum es
lakini ni nani atakayeketi kulia au kushoto kwangu si wajibu wangu kupanga, bali nafasi hizo watapewa wale waliotayarishiwa."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
et adduxerunt asinam et pullum et inposuerunt super eis vestimenta sua et eum desuper sedere fecerun
wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na yesu akaketi juu yake.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
propheta igitur cum esset et sciret quia iureiurando iurasset illi deus de fructu lumbi eius sedere super sedem eiu
lakini kwa vile daudi alikuwa nabii, alijua kuwa mungu alimwapia kiapo kwamba atamtawaza mmoja wa uzawa wake kuwa mfalme mahali pake.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ait illis calicem quidem meum bibetis sedere autem ad dexteram meam et sinistram non est meum dare vobis sed quibus paratum est a patre me
yesu akawaambia, "kweli mtakunywa kikombe changu, lakini kuketi kulia au kushoto kwangu si kazi yangu kupanga; jambo hilo watapewa wale waliowekewa tayari na baba yangu."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting