Results for signum translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

signum

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

et alii temptantes signum de caelo quaerebant ab e

Swahili

wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonyesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

salutatio mea manu pauli quod est signum in omni epistula ita scrib

Swahili

kwa mkono wangu mwenyewe naandika hivi: salamu kutoka kwa paulo! hivi ndivyo ninavyotia sahihi kila barua; ndivyo ninavyoandika.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

responderunt ergo iudaei et dixerunt ei quod signum ostendis nobis quia haec faci

Swahili

baadhi ya wayahudi wakamwuliza yesu, "utafanya muujiza gani kuonyesha kwamba unayo haki kufanya mambo haya?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

annorum enim erat amplius quadraginta homo in quo factum erat signum istud sanitati

Swahili

huyo mtu aliyeponywa alikuwa na umri wa miaka zaidi ya arobaini.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dic nobis quando ista fient et quod signum erit quando haec omnia incipient consummar

Swahili

"twambie mambo haya yatatukia lini? ni ishara gani itakayoonyesha kwamba mambo haya karibu yatimizwe?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et accesserunt ad eum pharisaei et sadducaei temptantes et rogaverunt eum ut signum de caelo ostenderet ei

Swahili

mafarisayo na masadukayo walimwendea yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba afanye ishara itokayo mbinguni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dederat autem traditor eius signum eis dicens quemcumque osculatus fuero ipse est tenete eum et ducit

Swahili

msaliti yuda alikuwa amewapa ishara: "yule nitakayembusu ndiye; mkamateni, mkampeleke chini ya ulinzi."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

qui respondens ait illis generatio mala et adultera signum quaerit et signum non dabitur ei nisi signum ionae propheta

Swahili

naye akawajibu, "kizazi kiovu kisicho na uaminifu! mnataka ishara; hamtapewa ishara nyingine, ila tu ile ishara ya nabii yona.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et signum magnum paruit in caelo mulier amicta sole et luna sub pedibus eius et in capite eius corona stellarum duodeci

Swahili

kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. palikuwa hapo mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et vidi aliud signum in caelo magnum et mirabile angelos septem habentes plagas septem novissimas quoniam in illis consummata est ira de

Swahili

kisha nikaona ishara nyingine mbinguni, kubwa na ya kushangaza. palikuwa hapo malaika saba wenye mabaa makubwa saba ya mwisho. kwa mabaa hayo makubwa saba, ghadhabu ya mungu imekamilishwa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicentes quid faciemus hominibus istis quoniam quidem notum signum factum est per eos omnibus habitantibus in hierusalem manifestum et non possumus negar

Swahili

wakaulizana, "tufanye nini na watu hawa? kila mtu anayeishi yerusalemu anajua kwamba mwujiza huu wa ajabu umefanyika, nasi hatuwezi kukana jambo hilo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et tunc parebit signum filii hominis in caelo et tunc plangent omnes tribus terrae et videbunt filium hominis venientem in nubibus caeli cum virtute multa et maiestat

Swahili

kisha, ishara ya mwana wa mtu itaonekana angani, na hapo makabila yote duniani yatalalamika; watamwona mwana wa mtu akija juu ya mawingu ya angani mwenye nguvu na utukufu mwingi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

faciem ergo caeli diiudicare nostis signa autem temporum non potestis generatio mala et adultera signum quaerit et signum non dabitur ei nisi signum ionae et relictis illis abii

Swahili

kizazi kiovu kisicho na uaminifu! mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara yoyote isipokuwa tu ile ya yona." basi, akawaacha, akaenda zake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,775,862,992 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK