Results for timentes translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

timentes

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

qua sublata adiutoriis utebantur accingentes navem timentes ne in syrtim inciderent submisso vase sic ferebantu

Swahili

wale wanamaji waliuvuta mtumbwi ndani, kisha wakaizungushia meli kamba na kuifunga kwa nguvu. waliogopa kwamba wangeweza kukwama kwenye ufuko wa bahari, pwani ya libya. kwa hiyo walishusha matanga na kuiacha meli ikokotwe na upepo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

sicut sarra oboediebat abrahae dominum eum vocans cuius estis filiae benefacientes et non timentes ullam perturbatione

Swahili

sara kwa mfano alimtii abrahamu na kumwita yeye bwana. ninyi mmekuwa sasa binti zake kama mkitenda mema bila kuogopa tisho lolote.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

servi oboedite per omnia dominis carnalibus non ad oculum servientes quasi hominibus placentes sed in simplicitate cordis timentes dominu

Swahili

enyi watumwa, watiini wakuu wenu wa kidunia katika mambo yote, na si tu wakati wanapowatazama kwa kuwa mnataka kujipendekeza kwao; ila fanyeni hivyo kwa moyo wote, kwa sababu ya kumcha bwana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dixit autem illis ubi est fides vestra qui timentes mirati sunt dicentes ad invicem quis putas hic est quia et ventis imperat et mari et oboediunt e

Swahili

kisha akawaambia, "iko wapi imani yenu?" lakini wao walishangaa na kuogopa huku wakiambiana, "huyu ni nani basi, hata anaamuru dhoruba na mawimbi, navyo vinamtii?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,800,412,178 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK