From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ego autem dico vobis quoniam omnis qui viderit mulierem ad concupiscendum eam iam moechatus est eam in corde su
lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
si enim quis viderit eum qui habet scientiam in idolio recumbentem nonne conscientia eius cum sit infirma aedificabitur ad manducandum idolothyt
maana, mtu ambaye dhamiri yake ni dhaifu, akikuona wewe mwenye ujuzi unakula vyakula hivyo ndani ya hekalu la sanamu, je, hatatiwa moyo wa kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu?
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
qui habuerit substantiam mundi et viderit fratrem suum necesse habere et clauserit viscera sua ab eo quomodo caritas dei manet in e
basi, mtu akiwa na mali za hapa duniani, halafu akamwona ndugu yake ana shida, lakini akawa na moyo mgumu bila kumwonea huruma, anawezaje kusema kwamba anampenda mungu?
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
amen amen dico vobis non potest filius a se facere quicquam nisi quod viderit patrem facientem quaecumque enim ille fecerit haec et filius similiter faci
yesu akawaambia, "kweli nawaambieni, mwana hawezi kufanya kitu peke yake; anaweza tu kufanya kile anachomwona baba akikifanya. maana kile anachofanya baba, mwana hukifanya vilevile.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting