Results for virtutem translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

virtutem

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

deus vero et dominum suscitavit et nos suscitabit per virtutem sua

Swahili

basi, mungu aliyemfufua bwana kutoka wafu atatufufua nasi pia kwa nguvu yake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

hii unum consilium habent et virtutem et potestatem suam bestiae tradun

Swahili

shabaha ya hawa kumi ni moja, na watampa yule mnyama nguvu na mamlaka yao yote.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et dixit iesus tetigit me aliquis nam ego novi virtutem de me exiss

Swahili

lakini yesu akasema, "kuna mtu aliyenigusa, maana nimehisi nguvu imenitoka."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

quia secundum virtutem testimonium illis reddo et supra virtutem voluntarii fuerun

Swahili

naweza kushuhudia kwamba walikuwa wakarimu kadiri ya nguvu zao na hata zaidi. kwa hiari yao wenyewe,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et non poterat ibi virtutem ullam facere nisi paucos infirmos inpositis manibus curavi

Swahili

hakuweza kutenda miujiza hapo, ila aliwawekea mikono wagonjwa wachache, akawaponya.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

vos autem curam omnem subinferentes ministrate in fide vestra virtutem in virtute autem scientia

Swahili

kwa sababu hiyo, fanyeni bidii ya kuongeza fadhila katika imani yenu: ongezeni elimu katika fadhila yenu,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ego mitto promissum patris mei in vos vos autem sedete in civitate quoadusque induamini virtutem ex alt

Swahili

nami mwenyewe nitawapelekeeni yule ambaye baba aliahidi kumtuma, lakini ngojeni huku mjini mpaka mtakapopewa ile nguvu itokayo juu."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

convocatis autem duodecim apostolis dedit illis virtutem et potestatem super omnia daemonia et ut languores curaren

Swahili

yesu aliwaita wale kumi na wawili, akawapa uwezo juu ya pepo wote, na uwezo wa kuponya wagonjwa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ecce dedi vobis potestatem calcandi supra serpentes et scorpiones et supra omnem virtutem inimici et nihil vobis nocebi

Swahili

naam, nimewapeni uwezo wa kukanyaga nyoka na ng'e, na uwezo juu ya nguvu zote za yule adui; hakuna chochote kitakachowadhuru.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicentium voce magna dignus est agnus qui occisus est accipere virtutem et divinitatem et sapientiam et fortitudinem et honorem et gloriam et benedictione

Swahili

wakasema kwa sauti kuu: "mwanakondoo aliyechinjwa anastahili kupokea uwezo, utajiri, hekima, nguvu, utukufu na sifa."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dignus es domine et deus noster accipere gloriam et honorem et virtutem quia tu creasti omnia et propter voluntatem tuam erant et creata sun

Swahili

"wewe ni bwana na mungu wetu, unastahili utukufu na heshima na nguvu; maana wewe uliumba vitu vyote, na kwa matakwa yako kila kitu kimepewa uhai na uzima."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

non enim volumus ignorare vos fratres de tribulatione nostra quae facta est in asia quoniam supra modum gravati sumus supra virtutem ita ut taederet nos etiam viver

Swahili

ndugu, tunataka kuwajulisheni taabu zilizotupata kule asia; taabu hizo zilitulemea kupita kiasi, hata tukakata matumaini yote ya kuendelea kuishi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,800,395,163 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK