Results for mācība translation from Latvian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latvian

Swahili

Info

Latvian

vispirms to saprotiet, ka neviena pravieša mācība rakstos nav iztulkojama patvaļīgi,

Swahili

zaidi ya hayo, lakini, kumbukeni kwamba hakuna mtu yeyote awezaye kufafanua mwenyewe unabii ulio katika maandiko matakatifu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Latvian

jēzus viņiem atbildēja, sacīdams: mana mācība nav mana, bet tā, kas mani sūtījis.

Swahili

hapo yesu akawajibu, "mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye aliyenituma.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latvian

un mana mācība, un mana sludināšana nenotika pārliecinātājos cilvēka gudrības vārdos, bet gara un spēka izpausmē,

Swahili

hotuba zangu na mahubiri yangu sikuyatoa kwa maneno ya kuvutia na ya hekima, bali kwa uthibitisho mwingi na nguvu ya roho.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Latvian

ikkatrs, kas atrodas verdzības jūgā, lai uzskata savus kungus par katra goda cienīgiem, lai dieva vārds un mācība netiktu zaimoti.

Swahili

watumwa wote wanapaswa kuwaheshimu wakuu wao ili kusiwe na sababu ya watu kulitukana jina la mungu na mafundisho yetu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Latvian

jo tiem, kas iet pazušanā, mācība par krustu ir neprātība, bet tiem, kas tiek pestīti, tas ir, mums tā ir dieva spēks.

Swahili

maana ujumbe kuhusu kifo cha kristo msalabani ni jambo la kipumbavu kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea, lakini kwetu sisi tulio katika njia ya wokovu ujumbe huo ni nguvu ya mungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Latvian

ko tad darīt, brāļi? kad jūs sapulcējaties, tad katram no jums ir psalms vai mācība, vai izskaidrojumi, tas viss lai notiek pacelšanai!

Swahili

ndugu, tuseme nini, basi? mnapokutana pamoja, mmoja aimbe wimbo, mwingine atoe mafundisho, mwingine awe na ufunuo kutoka kwa mungu, mwingine atumie kipaji cha kusema kwa lugha ngeni na mwingine afafanue yanayosemwa. yote yawe kwa ajili ya kulijenga kanisa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Latvian

arī jūs, tēvi, nekaitiniet savus bērnus, bet audziniet viņus kunga kārtībā un mācībā!

Swahili

nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya kikristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,966,768 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK