Results for apostol translation from Serbian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Serbian

Swahili

Info

Serbian

za koje sam ja postavljen apostol i uèitelj neznabožaca.

Swahili

mungu amenichagua mimi niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri habari njema,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

ako drugima i nisam apostol, ali vama jesam, jer ste vi peèat mog apostolstva u gospodu.

Swahili

hata kama kwa watu wengine mimi si mtume, lakini walau kwenu ninyi mimi ni mtume. ninyi ni uthibitisho wa mtume wangu kwa sababu ya kuungana kwenu na bwana.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

jer ja sam najmladji medju apostolima, koji nisam dostojan nazvati se apostol, jer gonih crkvu božiju.

Swahili

maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

jer vama govorim neznabošcima; jer, buduæi da sam ja apostol neznabožaca, hoæu da hvalim svoju službu;

Swahili

basi, sasa nawaambieni ninyi watu wa mataifa mengine: maadamu mimi nimekuwa mtume kwa watu wa mataifa mengine, ninajivunia huduma yangu,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

za koje sam postavljen propovednik i apostol (istinu govorim u hristu, ne lažem), uèitelj neznabožaca, u veri i istini.

Swahili

kwa sababu hiyo mimi nilitumwa niwe mtume na mwalimu wa watu wa mataifa, niutangaze ujumbe wa imani na ukweli. nasema ukweli; sisemi uongo!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

nisam li ja apostol? nisam li sam svoj? ne videh li ja isusa hrista, gospoda našeg? niste li vi delo moje u gospodu?

Swahili

je, mimi si mtu huru? je, mimi si mtume? je, mimi sikumwona yesu bwana wetu? je, ninyi si matokeo ya kazi yangu kwa ajili ya bwana?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,953,334,189 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK