Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
u kojoj je sve blago premudrosti i razuma skriveno.
ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
i s tvog razuma poginuæe slabi brat, za kog hristos umre.
hivyo, huyo ndugu yako dhaifu ambaye kristo alikufa kwa ajili yake, atapotea kwa sababu ya ujuzi wako.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nakazatelj bezumnima, uèitelj deci, koji ima ugled razuma i istine u zakonu.
unajiona kuwa mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa wale wasiokomaa bado. unayo katika sheria picha kamili ya elimu na ukweli.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
i poznati preteniju od razuma ljubav hristovu, da se ispunite svakom puninom boijom.
naam, mpate kujua upendo wa kristo upitao elimu yote, mjazwe kabisa utimilifu wote wa mungu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
a on reèe: ne ludujem, èestiti fiste, nego reèi istine i razuma kazujem.
lakini paulo akasema, "sina wazimu mheshimiwa festo: ninachosema ni ukweli mtupu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ljubav nikad ne prestaje, a prorotvo ako æe i prestati, jezici ako æe umuknuti, razuma ako æe nestati.
upendo hauna kikomo kamwe. kama kuna vipaji vya kutangaza ujumbe wa mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
o dubimo bogatstva i premudrosti i razuma boijeg! kako su neispitivi njegovi sudovi i neistraivi njegovi putevi!
utajiri, hekima na elimu ya mungu ni kuu mno! huruma zake hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! kama yasemavyo maandiko matakatifu:
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
o timotije! saèuvaj to ti je predano, kloni se poganih, praznih razgovora i prepiranja lano nazvanog razuma,
timotheo, tunza salama yote yale uliyokabidhiwa. jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita watu wengine: "elimu".
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
a ja sam i sam uveren za vas, braæo, da ste i vi sami puni blagodati, napunjeni svakog razuma, da moete druge nauèiti.
ndugu zangu, mimi binafsi nina hakika kwamba ninyi pia mmejaa wema, elimu yote, na mnaweza kushauriana ninyi kwa ninyi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ali nema svako razuma; jer neki koji jo i sad misle da su idoli neto, kao idolske rtve jedu, i savest njihova, slaba buduæi, pogani se.
lakini, si kila mtu anao ujuzi huu. maana wako watu wengine waliokwisha zoea sanamu, watu ambao mpaka hivi sasa wanapokula vyakula huviona bado kama vyakula vilivyotambikiwa sanamu. na kwa vile dhamiri zao ni dhaifu, hutiwa unajisi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: