Results for guri translation from Somali to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Somali

Swahili

Info

Somali

guri

Swahili

nyumba

Last Update: 2015-04-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Somali

waxaadna dhahdaa eebow i daji guri la barakeeyey adaa u khayrroon dejiyee.

Swahili

na sema: mola wangu mlezi! niteremshe mteremsho wenye baraka, na wewe ni mbora wa wateremshaji.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Somali

ma ogtahay kuwa ku badelay nicmaddii eebe gaalnimo, dejiyeyna qoomkoodii guri halaag.

Swahili

hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya mwenyezi mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Somali

waxayna mudanyihiin guri nabadgalyo oo eebahood agtiisa ah isagaana gargaarahooda ah waxay camal falayeen dartiis.

Swahili

hao watapata nyumba ya salama kwa mola mlezi wao. naye ndiye rafiki mlinzi wao kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Somali

qoomkayoow nolashan adduunyo ee dhaw waa uun raaxo (yar) aakharaase guri nagaadi ah.

Swahili

enyi watu wangu! hakika haya maisha ya dunia ni starehe ipitayo tu, na hakika akhera ndiyo nyumba ya daima.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Somali

kuwa buriya ballanka eebe adkayntiisa ka dib gooyana wuxuu faray eebe in la xidhiidhiyo oo fasaadiyana dhulka kuwaas waxaa u sugnaaday lacnad iyo guri xun.

Swahili

na wale wanao vunja ahadi ya mwenyezi mungu baada ya kuzifunga, na wanakata aliyo amrisha mwenyezi mungu yaungwe, na wanafanya fisadi katika nchi: hao ndio watakao pata laana, na watapata nyumba mbaya.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Somali

eebihii nadagjiyay guri nagaadi fadligiisa dartiis (janno) nagumana taabto dhexdeeda dhib, nagumana taabto daal.

Swahili

ambaye kwa fadhila yake ametuweka makao ya kukaa daima; humu haitugusi taabu wala humu hakutugusi kuchoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Somali

waxaa kale oo eebe tusaale uga dhigay kuwa rumeeyey haweenaydii fircoon markay tidhi eebbow guri agtaada iiga dhis jannada dhexdeeda, igana nabad geli fircoon iyo camalkiisa, igana nabad geli dadkaas daaliminta ah.

Swahili

na mwenyezi mungu amewapigia mfano walio amini - mkewe firauni, alipo sema: mola wangu mlezi! nijengee kwako nyumba peponi, na uniokoe na firauni na vitendo vyake, na uniokoe na watu madhaalimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Somali

ama ku ahaado guri dahaba ama ka kortid samada, kuna rumayn mayno koriddaada intaad noogaga soo dejisid kitaab aan akhrino, waxaad dhahdaa eebahaybaa nasahane ma waxaan bashar (dad) rasuula ahayn baan ahay.

Swahili

wala hatutaamini kupaa kwako mpaka ututeremshie kitabu tukisome. sema: subhana rabbi, ametakasika mola wangu mlezi!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,794,255,451 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK