Results for abiertamente translation from Spanish to Swahili

Spanish

Translate

abiertamente

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

están mintiendo abiertamente.

Swahili

kituo hiki kinadanganya mchana kweupe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

además, les he llamado abiertamente

Swahili

tena niliwaita kwa uwazi,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

Él sabe tanto lo que decís abiertamente como lo que ocultáis»

Swahili

hakika yeye anajua kauli ya dhaahiri na anajua myafichayo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

primera jueza abiertamente lesbiana confirmada al tribunal supremo de puerto rico

Swahili

ni rasmi sasa, 'shoga' wa kwanza kuteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu nchini puerto rico

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

sin embargo, nadie hablaba abiertamente de él, por miedo de los judíos

Swahili

hata hivyo hakuna mtu aliyethubutu kusema, habari zake hadharani kwa kuwaogopa viongozi wa wayahudi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

al joresh ha criticado abiertamente las detenciones arbitrarias del ministerio de interior saudita.

Swahili

al joresh ni mkosoaji mkubwa dhidi ya wizara ya mambo ya ndani ya saudi kwa kuwekwa watu kiholela kizuizini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el histórico nombramiento representa la primera vez que una persona abiertamente homosexual es designada al más alto foro judicial del país.

Swahili

uteuzi huo wa kihistoria unakuwa wa kwanza kwa mtu aliyejitangaza kuwa msagaji kuteuliwa kuitumikia mahakama kuu kabisa nchini humo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

@darrenmaule dershowitz ¿cómo se atreve un sureño drogón a insultarnos abiertamente como nación?

Swahili

#dershowitz unathubutu vipi kutingisha kichwa chako na shingo yako nyekundi na kututukana wazi wazi sisi wote kama taifa!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la novedad ha provocado que algunos propietarios anuncien abiertamente sus inmuebles, como indicaba un anuncio en blantyre old town la mañana del domingo.

Swahili

maendeleo hayo yamewashawishi baadhi ya wamiliki kuzitangaza wazi sehemu zao, kama vile bango moja kubwa lililoko kwenye mji mkongwe wa blatyre lilivyoashiria jumapili asubuhi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

ayudó a periodistas a movilizarse, los llevó a pueblos donde la gente respira más gas lacrimógeno que oxígeno y habló abiertamente frente a la cámara.

Swahili

aliwasaidia waandishi wenzake kusafiri, aliwachukua kwenda vijijini ambako watu walivuta moshi wa mabomu ya machozi kuliko hewa ya oksijeni, ana alizungumza kwa lugha kali mbele ya kamera.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

con motivo del primer aniversario del arresto y detención de los blogueros y periodistas asociados de zone9, nuestra comunidad compartió abiertamente este vídeo para apoyar a nuestros colegas encarcelados.

Swahili

katika kuadhimisha mwaka mmoja tangu kukamatwa na kuwekwa kizuizini kwa wanablogu wa zone9, jumuiya yetu ilitengeneza video hii kuwaunga mkono ndugu zetu hawa wanaoshikiliwa jela.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

entonces le rodearon los judíos y le dijeron: --¿hasta cuándo nos tendrás en suspenso? si tú eres el cristo, dínoslo abiertamente

Swahili

basi, wayahudi wakamzunguka, wakamwuliza, "utatuacha katika mashaka mpaka lini? kama wewe ndiye kristo, basi, tuambie wazi."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

cuando le preguntaron si temía persecuciones por hablar abiertamente en contra del régimen, safy respondió: "ya no me importa... mis amigos han sido encarcelados.

Swahili

alipoulizwa ikiwa anahofia mateso kwa kusema wazi wazi akiipinga serikali, safy alijibu, "sijali tena. rafiki zangu wamefungwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

jesús le respondió: --yo he hablado abiertamente al mundo. siempre he enseñado en la sinagoga y en el templo, donde se reúnen todos los judíos. nada he hablado en secreto

Swahili

yesu akamjibu, "nimesema na kila mtu daima hadharani. kila mara nimefundisha katika masunagogi na hekaluni, mahali wakutanikiapo wayahudi wote; na wala sijasema chochote kwa siri.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

a un miembro de rusia unida y candidato a alcalde al parecer lo desecharon de plano -– su campaña estuvo plagada de escándalos, el gobernador apoyó abiertamente a su oponente, etc. terminó ganando, sin embargo, por lejos ya que los votantes querían "apoyar y ayudar a la persona que está siendo acosada", sostiene schmidt.

Swahili

mgombea wa umeya wa chama cha united russia alijikuta na wakati mgumu - kampeni zake zikitingishwa na kashfa baada ya kashfa, gavana tena kwa waziwazi alimsaidia mpinzani wake, na kadhalika. mwishowe alishinda, hata hivyo, kwa kiasi kikubwa kwa sababu wapiga kura walitaka "kumwuunga mkono na kumsaidia mtu aliyeonekana ni dhaifu," schmidt anasema.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,046,710 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK