Results for acontecimiento translation from Spanish to Swahili

Spanish

Translate

acontecimiento

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

cuando suceda el acontecimiento,

Swahili

litakapo tukia hilo tukio

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

muchos en la blogósfera vieron el acontecimiento como un motivo para celebrar.

Swahili

wanablogu wengi wameliona tukio hilo kama sababu ya kusherehekea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

durante el acontecimiento principal, hubo un espectáculo impresionante de aviones de caza ugandeses.

Swahili

wakati wa tukio lenyewe, kulikuwa na maonyesho ya ndege za kivita za nchi hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cualquiera que haya ido a un juego de fútbol en vivo sabe que es un acontecimiento de experiencias.

Swahili

yeyote ambaye amewahi kuhudhuria mechi anajua kwamba hilo huwa tukio la kujua mambo mengi tofauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el día de los inocentes será exhaustivo para los árabes puesto que no es un acontecimiento que no celebran.

Swahili

siku ya wajinga duniani itakuwa inachosha tu kwa waarabu kwa sababu haina lolote lisilofanywa na waarabu siku nyingine

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el martes 9 de octubre de 2012, uganda cumplió el aniversario de oro de este acontecimiento histórico.

Swahili

tarehe 9 oktoba, 2012, uganda ilitimiza miaka 50 ya dhahabu ya tukio hilo la kihistoria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la bloguera egipcia lasto adri lamenta cómo lo que se suponía que era un acontecimiento deportivo ha degenerado en una confrontación.

Swahili

mwanablogu wa kimisri lasto adri anaeleza kuchukizwa kwake na jinsi kile kilichopaswa kuwa tukio la michezo, kimeshushwa hadhi na kuwa pambano chafu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

muchos bloggers han brindado blogueo en vivo e imágenes del acontecimiento (más imágenes en facebook).

Swahili

wanablogu wengi wamekuwa wakiblogu moja kwa moja na kutuma picha za tukio hilo (picha nyingine zimetoka kwenye facebook).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

¡no hay duda de que muchas personas esperan con impaciencia este excitante, estimulante y edificante acontecimiento!

Swahili

bila shaka:tukio hili ni la kusisimua na ambalo limekuwa likitarajiwa na wengi kwa shauku kuu!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

personas de todo el mundo vieron la ceremonia de premiación. algunos estuvieron blogueando en vivo el acontecimiento, como sepia mutiny.

Swahili

watu duniani kote waliangalia sherehe za kutoa tuzo. wengine walikuwa wakiblogu moja kwa moja, kama vile sepia mutiny.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el acontecimiento marca el inicio de la construcción de las líneas férreas entre níger, benín, burkina faso y costa de marfil.

Swahili

tukio hilo litaanzisha ujenzi wa reli kati ya niger, benin, burkina faso na côte d'ivoire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

ir delante anunciando sus intenciones de sagrado matrimonio, y agrega que ojalá encontremos una tarjeta para el acontecimiento y compartir acá las fotos con muchos de mis amigos.

Swahili

kuongoza njia kwa kutangaza nia ya ndoa takatifu, na kuongeza tunatumaini kuwa nitapata kadi na kuwaonyesha marafiki zangu wengi picha za tukio hilo

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

este acontecimiento fue conocido por todos los que habitaban en Éfeso, tanto judíos como griegos. cayó temor sobre todos ellos, y el nombre del señor jesús era magnificado

Swahili

kila mtu huko efeso, myahudi na asiye myahudi, alisikia juu ya tukio hilo. wote waliingiwa na hofu, wakalitukuza jina la bwana yesu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

aunque no sorprende que los usuarios de internet se vean atraídos por el despliegue revolucionario en kiev, es destacable que el anfitrión de los juegos olímpicos de invierno parece haber perdido su audiencia local por un acontecimiento extranjero.

Swahili

wakati haishangazi kwamba watumiaji wa intaneti wamevutwa na harakati za kimpinduzi huko kiev, inashangaza kwamba wenyeji wa mashindano ya olimpiki wamepoteza hadhira yao kwa tukio la nje ya nchi hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

las palabras de darlie hacen eco a las de lillie belle y las de eric leon en 97320, un blog francoguyanés, donde afirma que el lanzamiento del carnaval es un acontecimiento muy esperado :

Swahili

katika guadalupe, hata hivyo, watu hurejea tena siku 15 baadaye kwa ajili ya gwaride jingine, wakati wa “jeudi de la mi-carême” siku 15 baadaye aktikati ya kipindi cha mfungo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la coalición internacional para terminar con el ilegal asedio de gaza está movilizando a un contingente internacional para marchar al lado del pueblo de gaza, en una demostración no violenta de solidaridad y con la esperanza de terminar con el bloqueo en gaza. muchos de los participantes ya han llegado a el cairo, como preparación al acontecimiento.

Swahili

muungano wa kimataifa wa kukomesha vikwazo haramu vinavyoizingira gaza unaandaa kikundi cha kimataifa kitakachoandamana bega kwa bega na watu wa gaza, katika onyesho la amani la mshikamano ambalo lina matumaini ya kumaliza vikwazo huko gaza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

"más de un millón de egipcios desfilan para exigir la caída de ganzouri" titula el periódico oficial del partido libertad y justicia (plj, fundado por la hermandad musulmana) tras unos acontecimientos que dejaron perplejos a los egipcios.

Swahili

“watu milioni waandamana kushinikiza kung’oka kwa baraza la ganzouri” ndivyo kilivyosomeka kichwa cha habari cha gazeti rasmi la chama cha fjp (freedom and justice party, yaani chama cha uhuru na haki) kinachohusishwa na kundi la kiislamu lenye msimamo mkali linalojulikana kama muslim brotherhood baada ya matukio yaliyowashangaza watu wengi nchini misri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,913,960,786 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK