Results for asombraron translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

asombraron

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

mientras tanto, pedro persistía en tocar; y cuando abrieron, le vieron y se asombraron

Swahili

wakati huo petro alikuwa anaendelea kupiga hodi. mwishowe walifungua mlango, wakamwona, wakashangaa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

jesús estaba echando fuera un demonio que era mudo. y aconteció que, cuando salió el demonio, el mudo habló. las muchedumbres se asombraron

Swahili

siku moja yesu alikuwa anamfukuza pepo aliyemfanya mtu mmoja kuwa bubu. basi, huyo pepo alipomtoka, yule mtu akaweza kuongea hata umati wa watu ukashangaa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuando los discípulos lo oyeron, se asombraron en gran manera diciendo: --entonces, ¿quién podrá ser salvo

Swahili

wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa, wakamwuliza, "ni nani basi, awezaye kuokoka?"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

y se levantó, y en seguida tomó su camilla y salió en presencia de todos, de modo que todos se asombraron y glorificaron a dios, diciendo: --¡jamás hemos visto cosa semejante

Swahili

mara, watu wote wakiwa wanamtazama, huyo mtu akainuka, akauchukua mkeka wake, akaenda zake. watu wote wakashangaa na kumtukuza mungu wakisema, "hatujapata kamwe kuona jambo kama hili."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

los discípulos se asombraron por sus palabras; pero jesús, respondiendo de nuevo, les dijo: --hijitos, ¡cuán difícil es entrar en el reino de dios

Swahili

wanafunzi walishangazwa na maneno yake. yesu akawaambia tena, "watoto wangu, ni vigumu sana kuingia katika ufalme wa mungu!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,770,773,446 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK