Results for cocodrilo translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

¡pero únicamente una de las historias es sobre un cocodrilo gigante!

Swahili

lakini habari moja tu inahusu yule mamba mkubwa!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

todo "líder" nigeriano atrapado derramando lágrimas de cocodrilo por mandela debería ser sentenciado a 14 años de romper piedras en kirikiri .

Swahili

"kiongozi" yeyote wa naijeria atakayeonekana kumwaga machozi ya mamba kwa ajili ya mandela alazima afungwe miaka 14 katika jela ya kirikiri

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

artículos más leídos en global voices durante 2011 egipto: la noche cae tras el día de furia japan: we're losing to apple, and here's why cartografía de la inundación en tailandia (y también este) secuestran a 'lesbiana en damasco' (y también este) filipinas: debate sobre proyecto de ley de divorcio japón: tuiteando desde fukushima filipinas: lolong, el cocodrilo más grande del mundo india: el bebé de aishwarya rai y la demencia de los medios egipto: feminista publica foto desnuda para "expresar su libertad" japón: sobre catástrofes y milagros, un relato personal serbia: reacciones a la noticia de mercenarios serbios en libia el peor terremoto en la historia de japón myanmar tiene nuevo nombre y bandera méxico: miedo, incertidumbre y duda por el #opcartel de anonymous cantautor argentino facundo cabral es asesinado en guatemala África, francia: ¿quién es nafissatou diallo?

Swahili

makala za global voices zilizosomwa zaidi mwaka 2011 misri: usiku waisha, baada ya mchana wa ghadhabu japan: tunashindwa na kampuni ya apple, na hizi ni sababu kuchora ramani ya janga la mafuriko ya thailand (na (and also hii hapa pia) syria: “msichana msagaji akamatwa mjini damascus (na hii hapa pia) ufilipino: mjadala juu ya mswada wa talaka japan: kutuma ujumbe wa twita kutoka fukushima ufilipino: lolong, mamba mkubwa zaidi duniani india: mtoto wa aishwarya rai na wazimu wa vyombo vya habari misri: mtetezi wa haki za wanawake achapisha picha ya uchi “kuonyesha uhuru wake” japan: kuhusu majanga ya asili na miujiza, tafakari binafsi serbia: miitikio kuhusu habari ya wanajeshi wa ki-serbia wanaokodiwa kupigana nchini libya tetemeko kubwa zaidi katika historia ya matetemeko nchini japani bendera mpya ya myanmar na jina jipya mexico: hofu, mashaka na wasiwasi juu ya alama #opcartel ya mtu asiyetumia jina lake mwandishi wa nyimbo wa ajentina facundo cabral auawa huko guatemala afrika, ufaransa: nafissatou diallo ni nani?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,882,064,862 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK