Results for colina translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

¡construís en cada colina un monumento para divertiros

Swahili

je! mnajenga juu ya kila mnyanyuko kumbusho la kufanyia upuuzi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

hasta que se suelte a gog y magog y se precipiten por toda colina abajo.

Swahili

mpaka watapo funguliwa juju na maajuju wakawa wanateremka kutoka kila mlima;

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en la cima de la colina, me uní a una gran multitud en la ceremonia de conmemoración.

Swahili

pale juu ya kilima niliungana na umati mkubwa katika maadhimisho ya kumbukumbu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

hicimos del hijo de maría y de su madre un signo y les ofrecimos refugio en una colina tranquila y provista de agua viva.

Swahili

na tukamfanya mwana wa mariamu na mama yake kuwa ni ishara, na tukawapa makimbilio kwenda mahali palipo inuka penye utulivu na chemchem za maji.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

los caminantes llegaron a esta pequeña colina, donde fueron rodeados por una pandilla de asesinos y atacados con granadas, machetes y palos.

Swahili

mateka hao walitembea mpaka kwenye kilele cha kilima hiki ambapo walizingirwa na genge la wauaji na kisha kushambuliwa kwa mabomu, mapanga na marungu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cientos de personas se dirigieron hacia la colina de nyanza, muchos de ellos usando algo púrpura, una bufanda, un chal e incluso una pulsera púrpura.

Swahili

mamia ya watu walitembea polepole kwa huzuni kubwa kupitia njia ndefu iliyoelekea kwenye kilima kwenda nyanza, wengi wao walivaa chochote chenye rangi ya zambarau, kitambaa cha begani, kanga, au utepe wa mkononi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

quienes gastan su hacienda por deseo de agradar a alá y por su propio fortalecimiento son semejantes a un jardín plantado en una colina. si cae sobre él un aguacero, da fruto doble; si no cae, rocío.

Swahili

na mfano wa wale wanao toa mali zao kwa kuitafuta radhi ya mwenyezi mungu na kuzipa nguvu roho zao ni kama mfano wa bustani iliyo mahali pa juu, ikaifikia mvua kubwa na ikaleta mazao yake mardufu; na hata kama haifikiwi na mvua kubwa basi manyunyu hutosha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

colin meyn explica cómo la 'rápida difusión de los medios sociales está cambiando el paisaje político de camboya'.

Swahili

colin meyn anaelezea jinsi 'kuenea kwa haraka kwa kwa vyombo vya habari vya kijamii kunabadilisha mazingira ya kisiasa nchini cambodia.'

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,950,712,605 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK