From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
está el juego mismo, pero hay canciones, juegos pirótecnicos, bombas de humo, tambores, cuernos.
kuna mchezo wenyewe, lakini kuna nyimbo, mishumaa ya kirumi, mabomu ya moshi, ngoma, honi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
el sexto ángel tocó la trompeta. y oí una voz que salía de los cuatro cuernos del altar de oro que estaba delante de dios
kisha malaika wa sita akapiga tarumbeta yake. nami nikasikia sauti moja kutoka katika pembe nne za madhabahu ya dhahabu iliyokuwa mbele ya mungu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
los diez cuernos que has visto son diez reyes que todavía no han recibido reino, pero toman autoridad por una hora como reyes junto con la bestia
"zile pembe kumi ulizoziona ni wafalme ambao bado hawajaanza kutawala. lakini watapewa mamlaka ya kutawala kwa muda wa saa moja pamoja na yule mnyama.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
me llevó en el espíritu al desierto. y vi una mujer sentada sobre una bestia escarlata llena de nombres de blasfemia y que tenía siete cabezas y diez cuernos
kisha, roho akanikumba, akaniongoza mpaka jangwani. huko nikamwona mwanamke ameketi juu ya mnyama mwekundu. mnyama huyo alikuwa ameandikwa kila mahali majina ya makufuru; alikuwa na vichwa saba na pembe kumi.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
y apareció otra señal en el cielo: he aquí un gran dragón rojo que tenía siete cabezas y diez cuernos, y en sus cabezas tenía siete diademas
ishara nyingine ikatokea mbinguni: joka kubwa jekundu na lenye pembe kumi na vichwa saba; na kila kichwa kilikuwa na taji.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
los diez cuernos que has visto, y la bestia, éstos aborrecerán a la ramera y la dejarán desolada y desnuda. comerán sus carnes y la quemarán con fuego
pembe zile kumi ulizoziona na yule mnyama watamchukia huyo mzinzi. watachukua kila kitu alicho nacho na kumwacha uchi; watakula nyama yake na kumteketeza kwa moto.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
y en medio del trono y de los cuatro seres vivientes y de los ancianos vi un cordero de pie, como inmolado. tenía siete cuernos y siete ojos, que son los siete espíritus de dios enviados a toda la tierra
kisha nikaona pale katikati ya kiti cha enzi mwana kondoo amesimama, akizungukwa kila upande na vile viumbe hai vinne, na wale wazee. huyo mwanakondoo alionekana kana kwamba amechinjwa. alikuwa na pembe saba na macho saba ambayo ni roho saba za mungu zilizokuwa zimepelekwa kila mahali duniani.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
si has visto siquiera 30 segundos de la copa confederaciones, seguramente has notado el sonido zumbido que envuelve todo- y lo más probable es que esos cuernos sean la razón por la que solamente viste 30 segundos.
kama uliangalia japo sekunde 30 za kombe la mabara, uliweza kusikia ile kelele iwayo yote – na inawezekana kuwa matarumbeta yale yalikuwa ndiyo sababu iliyokufanya utazame kwa sekunde 30 tu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: