Results for desobedientes translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

desobedientes

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

para que yo sea librado de los desobedientes que están en judea, y que mi servicio a jerusalén sea del agrado de los santos

Swahili

ombeni nipate kutoka salama miongoni mwa wale wasioamini walioko uyahudi, nayo huduma yangu huko yerusalem ipate kukubaliwa na watu wa mungu walioko huko.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

profesan conocer a dios, pero con sus hechos lo niegan; son abominables, desobedientes y reprobados para toda buena obra

Swahili

watu kama hao hujidai kwamba wanamjua mungu, lakini kwa matendo yao humkana. ni watu wa kuchukiza mno na wakaidi, hawafai kwa jambo lolote jema.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

de igual manera, vosotros en otro tiempo erais desobedientes a dios, pero ahora habéis alcanzado misericordia por la desobediencia de ellos

Swahili

hapo awali ninyi mlikuwa mmemwasi mungu, lakini sasa mmepata huruma yake kutokana na kuasi kwao.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

asimismo, ellos han sido desobedientes en este tiempo, para que por la misericordia concedida a vosotros, también a ellos les sea ahora concedida misericordia

Swahili

hali kadhalika, kutokana na huruma mliyojaliwa ninyi, wayahudi wanamwasi mungu sasa ili nao pia wapokee sasa huruma ya mungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

son contenciosos, calumniadores, aborrecedores de dios, insolentes, soberbios, jactanciosos, inventores de males, desobedientes a sus padres

Swahili

na kusingiziana; ni watu wa kuchukiza kwa mungu, wafidhuli, wenye kiburi na majivuno; hodari sana katika kutenda mabaya, na hawawatii wazazi wao;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

porque habrá hombres amantes de sí mismos y del dinero. serán vanagloriosos, soberbios, blasfemos, desobedientes a los padres, ingratos, impíos

Swahili

watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

que en otro tiempo fueron desobedientes, cuando en los días de noé la paciencia de dios esperaba, mientras se construía el arca. en esta arca fueron salvadas a través del agua pocas personas, es decir, ocho

Swahili

hao ndio wale waliokataa kumtii mungu alipowangoja kwa saburi wakati noa alipokuwa anatayarisha ile safina. ndani ya chombo hicho ni watu wachache tu, yaani watu wanane, waliookolewa majini,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

porque en otro tiempo nosotros también éramos insensatos, desobedientes, extraviados. estábamos esclavizados por diversas pasiones y placeres, viviendo en malicia y en envidia. Éramos aborrecibles, odiándonos unos a otros

Swahili

maana, wakati mmoja sisi tulikuwa wapumbavu, wakaidi na wapotovu. tulikuwa watumwa wa tamaa na anasa za kila aina. tuliishi maisha ya uovu na wivu; watu walituchukia nasi tukawachukia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

eso es exactamente lo que malema está haciendo ahora mismo, dando vueltas como un niño desobediente que no quiere escuchar a su madre.

Swahili

naam hivyo ndivyo hasa malema anavyofanya hivi sasa, anakimbia kimbia kama vile mtoto mbaya asiye na fadhila ambaye hataki kumsikiliza mama yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,777,206,466 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK