Results for elegidos translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

están junto a nosotros, de los elegidos mejores.

Swahili

na hakika wao kwetu sisi ni wateuliwa walio bora.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la verdadera, y no lo que muestran a los medios elegidos.

Swahili

kuonyesha hali halisi, na si yale ambayo wao wanataka kutuonyesha tena kupitia vyombo vya habari wanavyovichagua wenyewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la mayoría de los legisladores son elegidos o bien indirectamente a través de grupos funcionales o bien designados directamente por el jefe de gobierno.

Swahili

wengi wa watunga sheria ama wamechaguliwa na makundi yao au wameteuliwa na mkuu wa serikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

las sesiones de chat sobre el ébola son eventos en twitter donde expertos de todo el mundo están disponibles para discutir temas elegidos con el público en general.

Swahili

majadiliano yanayofanyika kwenye #ebolachat huwa ni matukio ya kwenye mtandao wa twita ambapo wataalamu kutoka duniani kote huwepo kujadili mada zinazokuwa zimechaguliwa na watu wenyewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

pablo, siervo de dios y apóstol de jesucristo según la fe de los elegidos de dios y el pleno conocimiento de la verdad--la cual es según la pieda

Swahili

mimi paulo, mtumishi wa mungu na mtume wa yesu kristo naandika. mimi nimechaguliwa kuijenga imani ya wateule wa mungu na kuwaongoza waufahamu ukweli wa dini yetu,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

elegidos conforme al previo conocimiento de dios padre por la santificación del espíritu, para obedecer a jesucristo y ser rociados con su sangre: gracia y paz os sean multiplicadas

Swahili

mungu baba aliwateua ninyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na roho, mpate kumtii yesu kristo na kusafishwa kwa damu yake. nawatakieni neema na amani tele.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

ellos harán guerra contra el cordero, y el cordero los vencerá, porque él es señor de señores y rey de reyes, y los que están con él son llamados y elegidos y fieles.

Swahili

watapigana na mwanakondoo, lakini mwanakondoo pamoja na wale aliowaita na kuwachagua, ambao ni waaminifu, atawashinda kwa sababu yeye ni bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

la mayoría de nuestros dirigentes, bien o mal elegidos, a pesar de estar muchos años en el poder, se han distinguido por su incompetencia . cualquier mentira vale para seguir en el poder.

Swahili

wengi wa viongozi wetu, waliochaguliwa vyema au sivyo, licha ya kukaa muda mrefu madarakani, ni wazembe uongo wowote ni mzuri kumfanya akwae madaraka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

entonces pareció bien a los apóstoles y a los ancianos con toda la iglesia que enviaran a unos hombres elegidos de entre ellos, a antioquía con pablo y bernabé: a judas que tenía por sobrenombre barsabás, y a silas, quienes eran hombres prominentes entre los hermanos

Swahili

mitume, wazee na kanisa lote waliamua kuwachagua watu fulani miongoni mwao na kuwatuma antiokia pamoja na paulo na barnaba. basi, wakamchagua yuda aitwaye pia barsaba, na sila ambao wote walikuwa wanajulikana zaidi kati ya ndugu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

agambagye frank comenta en la página web de new vision que está bien que haya salido elegida y que cree que así es como debería ser la democracia:

Swahili

akiweka maoni yake kwenye tovuti ya new vision, agambagye frank anafikiri ni vizuri kuwa amechaguliwa na anaamini hivi ndivyo demokrasia inavyopaswa kuwa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,950,824,368 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK