Results for estrella translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

estrella

Swahili

nyota

Last Update: 2011-08-30
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

para mí él era una estrella.

Swahili

kwangu mimi alikuwa ni nyota.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

es la estrella de penetrante luz.

Swahili

ni nyota yenye mwanga mkali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

¡por la estrella, cuando declina!

Swahili

naapa kwa nyota inapo tua,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

tanzania: adiós a una estrella de cine

Swahili

tanzania: mwigizaji nyota wa filamu, steven kanumba, afariki dunia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

además, yo le daré la estrella de la mañana

Swahili

tena nitawapa nyota ya asubuhi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

espera un momento, exactamente debajo de la estrella.

Swahili

subiri kwa muda, sawia chini ya jua.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

el pabilo está en un recipiente de vidrio, que es como si fuera una estrella fulgurante.

Swahili

tungi lile ni kama nyota inayo meremeta, inayo washwa kwa mafuta yanayo toka katika mti ulio barikiwa, mzaituni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

la estrella de la primera parte fue indudablemente el número 10 del yanga, mrisho ngasa.

Swahili

shujaa wa kipindi cha kwanza bila shaka alikuwa namba 10 wa yanga,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

entonces herodes llamó en secreto a los magos e indagó de ellos el tiempo de la aparición de la estrella

Swahili

hapo, herode aliwaita faraghani hao wataalamu wa nyota, akawauliza wakati hasa ile nyota ilipowatokea.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

desde los años 90 hasta ahora, meena se ha convertido en una estrella y un personaje especial para nuestra sociedad.

Swahili

tokea miaka ya 90 hadi sasa, meena amekuwa maarufu sana na fanani wa kipekee sana katika jamii yetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

haciéndose eco de los sentimientos de muchos fanáticos de África, sudanese thinker recuerda con cariño a la estrella del pop:

Swahili

akiyapa mwangwi mawazo ya mashabiki wengi wa kiafrika sudanese thinker anamkumbuka mwanamuzki huyu maarufu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

cuando cerró la noche sobre él, vio una estrella y dijo: «¡Éste es mi señor!».

Swahili

na ulipo muingilia usiku akiona nyota, akasema: huyu ni mola mlezi wangu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

el quinto ángel tocó la trompeta. y vi que una estrella había caído del cielo a la tierra, y le fue dada la llave del pozo del abismo

Swahili

kisha malaika wa tano akapiga tarumbeta yake. nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka juu ya nchi kutoka mbinguni. nayo ikapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

toda una estrella en alza dentro de la blogosfera anglosajona en japón, tofugu se caracteriza por un precioso diseño y por unos convincentes comentarios sobre la cultura pop japonesa.

Swahili

nyota inayochomoza kwenye ulimwengu wa blogu za kiingereza nchini japani, tofugu huandika ubunifu mzuri na maoni yanayovutia kuhusu utamaduni maarufu wa kijapani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

el nombre de la estrella es ajenjo. y la tercera parte de las aguas se convirtió en ajenjo, y muchos hombres murieron por las aguas, porque fueron hechas amargas

Swahili

(nyota hiyo inaitwa "uchungu.") basi, theluthi moja ya maji yakawa machungu; watu wengi wakafa kutokana na maji hayo, kwa sababu yaligeuka kuwa machungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

para el blogger ugandés rosebell, la muerte de jackson impulsó la reflexión sobre por qué las noticias prestan mucha más atención a la muerte de una estrella del pop que a otras tragedias:

Swahili

kwa mwanablogu wa uganda rosebell, kifo cha kimeamsha tafakari ya kwa nini habari zinatoa uzito mkubwa kwa kifo cha mwanamziki huyu badala ya majanga mengine:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

si cuenta con el acceso casi exclusivo a la explotación del gas nacional podrá contratar a jennifer lópez. si no consigue a una estrella de este calibre no se preocupe, la gente no se quedará sentada y disfrutará igualmente.

Swahili

kama una utajiri wa kutosha kukaribia kununua utajiri wa gesi asilia ya taifa hilo, unaweza kumkodisha j-lo, lakini hata kama huna utajiri huo basi angalau mwimbaji utakayempata awe na uwezo wa kuwasisimua waalikwa wako.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

"yo, jesús, he enviado a mi ángel para daros testimonio de estas cosas para las iglesias. yo soy la raíz y el linaje de david, la estrella resplandeciente de la mañana.

Swahili

"mimi, yesu, nimemtuma malaika wangu awathibitishieni mambo haya katika makanisa. mimi ni mzawa wa ukoo wa daudi. mimi ni nyota angavu ya asubuhi!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

la blogósfera sudafricana acaba de despertar con la reciente noticia de la renuncia de 11 ministros y tres vice ministros, incluyendo al ministro sudafricano estrella, trevor manuel y la vice presidenta, phumzile mlambo-ngcuka.

Swahili

ulimwengu wa wana-blogu wa afrika ya kusini umelipuka kutokana na matukio ya havi karibuni kwamba mawaziri 11 na manaibu wao 3 wamejiuzulu, mmojawapo akiwa ni mmoja wa mawaziri wa kutumainiwa kabisa nchini humo, trevor manuel, na makamu wa rais, phumzile mlambo-ngcuka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,800,154,381 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK