From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
amnistía internacional francia lo denunció como "un gran golpe contra los derechos humanos".
shirika la amnesty international ufaransa limelaani muswada huo kwa ksuema kwamba "ni janga kuu kwa haki za binadamu."
francia no ha sufrido un atentado terrorista serio desde unos atentados durante los 90 vinculados a la guerra civil argelina.
ufaransa haijakumbwa na shambulio lolote kubwa la ugaidi tangu msukosuko wa mabomu katika miaka ya 1990 iliyohusiana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini aljeria.
desde la propuesta prohibición de la burka en francia, el asunto ha estado discutiéndose con frecuencia en la blogoesfera australiana.
tangu mapendekezo ya kupiga marufuku uvaaji wa burqa au hijab huko ufaransa, suala hilo limekuwa likitokota katika ulimwengu wa bloghu wa australia.
aparte de estos dos, los extranjeros bernard lama de francia y el alemán antoine hey tuvieron períodos cortos y llenos de problemas.
ukiacha hao wawili, wageni wengine bernard lama wa ufaransa na mjerumani antoine hey hawakudumu, na walipata misukosuko mingi.
el problema de costa de marfil concierne a todos los africanos advertimos a la comunidad internacional y a francia que deje de hacer lo que está haciendo en costa de marfil .
tatizo la côte d'ivoire linawagusa waafrika wote tunaionya jamii ya kimataifa na ufaransa kusitisha mara moja kile wanachokifanya nchini côte d'ivoire
@omarc: han dejado entrar a mujeres de ch 4 y de radio francia, así como a algunos hombres japoneses.
@omarc: wanawake wanaofanya kazi ch 4 & wale wa redio ufaransa (mmoja baada ya mwingine) na yule kijana mjapani wameruhusiwa kuingia bahrain.
1) francia comandó algunas ramas del ejército de ruanda contra los rebeldes del frente patriótico de ruandés (rpf).
1) ufaransa iliamuru baadhi ya matawi ya jeshi la rwanda kuwavamia waasi wa rpf (rwandan patriotic front).
@fanamokoena : es vergonzoso que los medios de sa ofrezcan noticias actualizadas diariamente sobre las elecciones en francia pero no lo hagan para su país hermano lesoto.
@fanamokoena: inasikitisha kwamba vyombo vya habari vya afrika kusini vinatupa habari za mara kwa mara kuhusu uchaguzi wa ufaransa lakini vinashindwa kufanya hivyo kwa nchi jirani ya lesotho.
2) francia temía que la ofensiva tutsi fuera piloteada a través de uganda por países de habla inglesa y esto fuera un intento de abrir una brecha en la influencia francesa en la región.
2) ufaransa ilikuwa na wasiwasi kuwa jitihada za kujikinga zilizofanywa na watutsi zilifanyika uganda kwa kuratibiwa na nchi zizungumzazo kifaransa lengo likiwa ni kupunguza nguvu ya ufaransa kwenye eneo hilo.
4) los soldados franceses no evacuaron a ninguno de los miembros del personal de origen tutsi presentes en la embajada de francia (excepto por una persona).
4) wanajeshi hawakuwaondoa wafanyakazi wa kitutsi waliokuwa kwneye jengo la ubalozi wa ufaransa (isipokuwa mmoja).